mbona anavaa nguo zimembana?
Ati copycats? How many sections r being built in Tanzania?
Limekuwa behewa la kupozi na kupiga picha, ha ha ha. Upuuzi mtupu.
Bado uko hai? Nilizani ulishatangulia mbele za haki #MO29 π€£Limekuwa behewa la kupozi na kupiga picha, ha ha ha. Upuuzi mtupu.
Tayari nimeshatangulia mbele ya haki lakini huwa nafufuka mara moja moja kuangalia kama bado unaandika upuuzi wakoπππBado uko hai? Nilizani ulishatangulia mbele za haki #MO29 π€£
still waiting for the clip showing the wananchi receiving their handouts!