Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Shauri yako na mambo yako ya kipuuzi puuzi.Umia polepole.
Eti... πUnapongeza wananchi kulipwa wastani wa 1.5M
Mbona kama naona mmoja hapa anang'ang'ana nipost video ya Wakenya kulipwa, bado sijaelewa kama intention yake ni kuwa-mark sura zao kisha.... πKuna matapeli wanazipigia mahesabu.