Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mmepigwa! miaka kumi wachina mnawalipa mabilioni ku operate. Wewe endelea kutetea ujinga, Vipi wachina wameacha kuwachapa viboko!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepigwa! miaka kumi wachina mnawalipa mabilioni ku operate. Wewe endelea kutetea ujinga, Vipi wachina wameacha kuwachapa viboko!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawalipa kwa raha zetu mpaka tushike kila kitu vizuri, kampuni hio ya maintenance ilianza 30% wachina hadi iwe 1% wachina after 5 years 100% after that.... Project iko na lifetime ya 100 Years!!!! ....... Tazara mmeiuwa baada ya miaka 30 tu! endeleeni na mtindo huo huo!
 
mitano yote mchina amekaba lo poleni watani
 
Traffic control system iko kwa lugha ya Chinese. Wakenya wameshindwa kuelewa !!!
 
Hii imetokea lini

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya Dec 2017, Ujenzi wa SGR Phase 2A ulianza June 2017, Hilo eneo hua liko na sudden weather changes, kama unaajenga chochote ni uhakikishe kila kitu kiko secured, ukiacha kitu kinaenda na upepo, ukizubaa mvua ya ghafla inafagilia kila kitu, na kama haujajenga vizuri ardhi inapasuka na kumeza kila kitu.. Mpaka imebidi Kenya Railway iwaambie Consultants wa SGR wazike Sensors chini ya ardhi eneo hilo ili ziwe zinatuma warning signal ili SGR eneo hilo kama kuna ardhi itasonga.....


Hilo eneo la Mai mahiu na Suswa limeumisha Kichwa hao engineers wa SGR




Kama unavyoona kwa hii picha Upepo uliharibu kama bado inajengwa






Click hii picha uzoom unagalie vile ardhi hupasuka hilo eneo , Ni vile tu hayo madaraja eneo hilo yamechimbiwa chini zaidi wakijua kwamba kitu kama hicho kinaweza fanyika, kama ingekua yamechimbiwa kama madaraja mengine ingekua tunaongelea story nyengine




Safety measures zilizochukuliwa tangu hio siku ni kila mtu lazima aji secure kama hivi kwa maeneo yenye upepo mkali
 
Wacha uwongo wind ili-blow bridge structure! The land fault had nothing to do with that collapse of the bridge!
 
Wacha uwongo wind ili-blow bridge structure! The land fault had nothing to do with that collapse of the bridge!
There is no bridge that has ever collapsed, Structures that were bieng put on the bridge are the ones that fell off
 
Yaani wewe ni kilaza wa mwisho,command and control center ni kazi simple sana..
Wakenya wana endesha 747,787 na wana man Air traffic control ambayo ni sensitive kuliko ujinga huu..Propaganda peleka vijiweni
 
Kwa kweli hapo mnachangamoto maana dhoruba huwa hazikwepeki punde zinapoamua kutokea,ni sawasawa nakuzuia tsunami....[emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mbona inafanana sana na ile ya Phase I, kwani hawa contractors hawajifunzi tu? hatutaki siku itokee hii structure fall wakati treni inapita hapo...kazi ipo.
Kazi ya Muchina hairekebishiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…