Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Aisee mi' c hater but here is the indisputable fact;that thing is cheap. Very.
Huwezi linganisha kiatu cha dola moja na dola mia moja. Never!
The lower the price, the lower the quality and vice versa
 
Picha za sgr tz tunaonyeshwa mahala pamoja different angles different elevations na tayari inakaa low quality.
 
kwa hivyo maji iliyo haribu sehemu hiyo , itabeba nyasi na reli pia ikishuhudiwa Tanzania kwavile inakaa weaker??

Reli inatandikwa na mikono tuu? Mtafika Morogoro mwaka gani?
Tulia wewe reli zote Ulaya haziko paved on embarkments n high speed train zinapita!
 

Wait a minute......Mataruma in demand 500,000, mataruma per day 1,080, total mataruma for now 90,000, required mataruma 410,000. Total days required to produce the remaining mataruma 380 days, expected completion date of the project, November 2019. [emoji848]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

There are two factories for mataruma one on each end hiyo ni production ya kiwanda kimoja get your facts right before you spill your ignorance here.
 
There are two factories for mataruma one on each end hiyo ni production ya kiwanda kimoja get your facts right before you spill your ignorance here.
Umeniwahi I wanted to say the same, kule aliko mota engil kuna factory nyingine ya sleepers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…