Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,293
- 5,163
There are two factories for mataruma one on each end hiyo ni production ya kiwanda kimoja get your facts right before you spill your ignorance here.
Kipo kingine mkuu, kikubwa zaidi na hiko ni chakudumu hiki ni temporary tu.You need to understand the difference between the person expressing his curiosity and the person arguing with no facts, if you can get your mind together you will realise i was in the former state of mind, infact, there is no description of number of viwanda vya mataruma in that video which is the bases of my curiosity. Anyways, time will tell.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Those Tanzanian stations are very useless. Their tracks are useless. It will take a miracle for them to get a superior train.Mungu ni mwema, we are starting to see which SGR is going to be superior, Tz SGR station Vs Kenya's SGR substation. The first one is for Tz the second is for Kenya.View attachment 1024366View attachment 1024370
Sent using Jamii Forums mobile app
They are afraid to show us their cheap railway and stations.Picha za sgr tz tunaonyeshwa mahala pamoja different angles different elevations na tayari inakaa low quality.
I'm eagerly waiting for its completion.Those Tanzanian stations are very useless. Their tracks are useless. It will take a miracle for them to get a superior train.
Yani mchina bado anawadai billions of money alaf awaachie kazi taratibuππ wewe kituko sana wakat sgr imeajiri 5000 Chinese na 1600kenyans huku mishahara ya hao wachina inaeza kulipa 10000 kenyans ππππ au unabisha piaMaintenance, Management, Repair........ Waanafunzzi ambao wamekua wakifaanyiwa mafunzo tangu 2016 pole pole wanaanza kupewa majukumu makubwa na mwishowe baada ya miaka mitano inatarajiwa wataachiwa majukumu yote..
Train Inspection
Sehemu ambayo bado Wakenya hawajaachiwa ni Traffic command and Control ambapo ukibofya vibaya unaweza kufanya treni mbili zigongane, Kuna wakenya kadhaa kama 24 wametumwa Jiotong University kule China Kusomea ku operate hio traffic controll system
Tutawalipa kwa raha zetu mpaka tushike kila kitu vizuri, kampuni hio ya maintenance ilianza 30% wachina hadi iwe 1% wachina after 5 years 100% after that.... Project iko na lifetime ya 100 Years!!!! ....... Tazara mmeiuwa baada ya miaka 30 tu! endeleeni na mtindo huo huo!
Ugua taratibu budaaππππππChinese wako superior by far...
Mbona Yapi merkezi ya Ethiopia iko abit better...
Inamaana we huoni kua ujenzi bado unaendelea hapo??? SGR tz inawanyima usingiziππππ.Mungu ni mwema, we are starting to see which SGR is going to be superior, Tz SGR station Vs Kenya's SGR substation. The first one is for Tz the second is for Kenya.View attachment 1024366View attachment 1024370
Sent using Jamii Forums mobile app
Low quality.Ugua taratibu budaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1024503View attachment 1024504
It is their first. They won't get it.πππ
Ni busara ukajifunza kutokana na makosa yako ila ni busara zaidi ukajifunza kupitia makosa ya wenzako.It is their first. They won't get it.πππ
Yet high speed train will be transmitted!