Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Bei ya simiti Kenya ni cheaper kuliko TZ, also tunamanufacture more cement kuwaliko
Tanzania inaongoza A. Mashariki kwa kuzalisha hiyo unayoita simiti
Cement prices rise in Tanzania as Twiga Cement suspends production
@ndughuri msuya Kenya leads inboth cement production and consumption in East Africa
Cement Companies in Kenya - Cement Industry, Manufacturers, Plants and Factories in Kenya - InformationCradle
 
Kuna commission ilioandikwa kazi kuangalia matatizo yanayokumba biashara ya SGR, preliminary finding zinaonyesha bandari ya mombasa imboreka zaidi kwasababu ya SGR customs wanakagua na kuachilia mizigo ndani ya 60 hours lakini kwa upande mwengine Nairobi ICD haianwafanyikazi na mazoea ya kutosha mizigo inaachiliwa baada ya 134 Hours kusababisha bei ya usafirashaji wa mizigo kupitia SGR kuongezeka ..... ripoti hio imetoa recomendetions kibao ambazo zikifwatiliwa zitapunguza bei ya kusafirisha mizigo hadi iwe chini kabisa....

Ndani ya hio tipoti pia kuna estimation za revenue na njia tatu ambazo Kenya itatumia kulipia deni la SGR...
3 different scenarios:

Case 1: Kenya Railways ikilipia kila kitu ($3.2B + interest + operational cost) itabidi walipishe 100,000 KSH per TEU (sawa na malori)
Case 2: Kenya Railways KR ikilipia Interest ($100m pa) na direct operational cost Which isalso about ($100m) alafu Serekali ilipie ile loan yenyewe ($260m p.a) SGR itacharge about 50,000KSH

Case 3: GoK ikilipia Loan + Interest na KR ibakishwe kulipia operational cost, SGR itakua inaeza kulipisha 38,000KSH per TEU


Hizo calculation zimefanywa kutumia estimation ya ma contena pekee, hawakuongezea na bulk cargo...e.g cement,cars, iron sheets, grain, flour etc
 
Tanzania inaongoza A. Mashariki kwa kuzalisha hiyo unayoita simiti
nimesema tunazalisha simiti kuwaliko sasa wewe unasema nini.... tena licha ya kuzalisha na kutumia cement nyingi kuwaliko bado tuna import nyengine kwasababu haitutoshi.... same thing with steel
 
nimesema tunazalisha simiti kuwaliko sasa wewe unasema nini.... tena licha ya kuzalisha na kutumia cement nyingi kuwaliko bado tuna import nyengine kwasababu haitutoshi.... same thing with steel
What is simiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…