Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Ni zile zinazofanana na vyoo vya umma unazungumzia? Pugu station and the other one? Public toilets in Nairobi are even beautiful.Acha nifungue Uzi .NAIROBI PUBLIC TOILETS VS TZ SGR STATIONShata nikikuonyesha hayawezi kufanana wait km za mradi zisogee kwa kukamilika nitakushow vile best n quality desgn inavyokuwa
kwa sasa kuwa mpole endeleeni kujenga magofu
Sent using Jamii Forums mobile app
ile ni normal station ,haipaswi kuwa station kubwa kwani kutoka katikati ya jiji ambako station kubwa inajengwa si mbali sana na pugu ni km kadhaa tu hivyo hata mngekuwa nyie msinge jenga station kubwa.....zitakazowatia adabu zipo njiani halafu punguza kula mirungiNi zile zinazofanana na vyoo vya umma unazungumzia? Pugu station and the other one? Public toilets in Nairobi are even beautiful.Acha nifungue Uzi .NAIROBI PUBLIC TOILETS VS TZ SGR STATIONS
EXERCISE
explain hiyo ni type gani ya hiyo building....?
kiasi gani kimetumika kujenga hilo jengo...?
nipe tofauti kati ya wewe na hilo jengo..?
Je huwa limetumia material gani..?..
hilo jengo limekulipa kiasi gani cha pesa K.shs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Technology introduced first in East and central Africa
It seems Korea!He has said contract for dmu and cargo train will be signed early next month.
Any idea who's the suppliers?
Reli yenyewe imefika Kibaha lakini mbwembwe utafikiri ishafika Mwanza. Alafu nasikia ujenzi ulikwama desemba mwaka jana na hizo tunakaririwa hapa ni spin tu.
Sio mchezo aisee...Technology introduced first in East and central Africa
I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.He has said contract for emu and cargo train will be signed early next month.
Any idea who's the suppliers?
Alafu mbona hadi sasa hatujaambiwa bei ya hivi vichwa na mabehewa yake?It seems Korea!
Subiri! Hatukurupuki winning bid itaambatana na cost! Hatuuziwi mbuzi kwenye gunia!Alafu mbona hadi sasa hatujaambiwa bei ya hivi vichwa na mabehewa yake?
Haya tutaendelea kusubiri tu.Subiri! Hatukurupuki winning bid itaambatana na cost! Hatuuziwi mbuzi kwenye gunia!
Hivi hizo train zenu mlichagua au mlichaguliwa kama ilivyokua kwa contractor..I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
Sio wote watacheleweshaI thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
Unasikia? wengine tumekwenda kushuhudia maendeleo ya ujenzi huo na tulivyoona na kwamba unaendelea vizuri.Reli yenyewe imefika Kibaha lakini mbwembwe utafikiri ishafika Mwanza. Alafu nasikia ujenzi ulikwama desemba mwaka jana na hizo tunakaririwa hapa ni spin tu.
kenya ni kenya na Tz ni Tz,,,,,I thought the contract for supply of 14 electric trains and 2 diesel-electric trains had already been awarded last year and you were awaiting delivery.
Sasa kama wanasema contract itatiwa sign next month , I doubt kama kiwanda cha kutengeneza reli kinaweza kutengeneza treni 16 na mabehewa karibia 1,400 Chini ya miezi 7 kabla mwaka uishe... Zile za Kenya mpaka Leo bado hawajamaliza order ya mabehewa miaka mitatu baadae, vichwa vya treni ndo walileta vyote tuli order hivyo vichwa mwaka mmoja na nusu au miwili kabla tumalize ujenzi ndo vichwa vya Kwanza vikaanza kuwasili na iliwachukua kama miezi sita kabla wavilete vichwa vyote.
kenya ni kenya na Tz ni Tz,,,,,
ndiyo maana hata town nyie huwa mnaita Taoo lakini sisi hatuiti taoo,usiforce tufanane
Sent using Jamii Forums mobile app
usihofu ,nikija leta hoja hapa kenya nzima mtanichukia milele......hivyo kuwa mpole si lazima wote tuwe waimbaji,,,