Railway levy nets Sh95bn in five years as Kenyans pay for the line
Money collected over the period is charged on imported cargo and footed by buyers.www.nation.co.ke
if everything remains constant, then it means this project will be fully paid in the next 8-10 years.
wale wachawi wa kuombea Kenya mabaya sasa wako na hali mbaya!
Wacha wivu, naona empty seat mbili tu hapo....... Ukiona empty seat mara nyingi hua ni watu waliochelewa kufika wakaachwa na gari, alafu pia haijasemekana hii picha ilichukuliwa kwa treni gani, kuna express train na inter county train, Inter county train hua inaenda ikisimama kila stesheni ya abiria kubeba au kushukisha abiria kila stesheni kwahivyo hautawai kuiona imejaa full kila wakati!Mbona empty seats ni nyingi!! Huwaga wanaletaga uzi humu utasikia "SGR train full booked kwa miezi minne ijayo" kumbe ni kelele tu.
Mbona empty seats ni nyingi!! Huwaga wanaletaga uzi humu utasikia "SGR train full booked kwa miezi minne ijayo" kumbe ni kelele tu.
haha do you remember this,?Kumekucha hatimae waturuki wanakaribia kutoka porini salamaView attachment 1088738
Hey Tanzanians, don't you have your rail? Why using our rail pictures when talking about your SGR?
Tokea lini hilo gazeti limekuwa la Tanzania?
unajitekenya na kucheka mwenyewe sio vizuriHey Tanzanians, don't you have your rail? Why using our rail pictures when talking about your SGR?
Nationmedia owns Mwananchi!
jamaa wako desperate hawa...reli yao iko 50% na picha hamna wanatumia za kenya...kisha watakwambia yao ni the best...
jamaa wako desperate hawa...reli yao iko 50% na picha hamna wanatumia za kenya...kisha watakwambia yao ni the best...
the best itakosa picha jamani ifikapo 50%
Hapa ninwapi ,Ngong?