Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania


Dude i guess it's not 400Km, nadhani kuna tatizo la uchapaji...
 

Nafikiri hiyo 400KM ni kipande ndani ya Dar-Isaka, kama vile sisi tumefanya Mombasa-Nairobi, Nairobi-Naivasha, maana kama nimeelewa ni kwamba Magu aliamua kupokeza mradi kwa vipande na kwa wakandarasi tofauti.

Hiyo ni tofauti na alivyokua amefanya JK kuwaachia Wachina wapasue miamba kwenye 1,377km zote, japo Mchina alitaka mzingatie masharti yake, kwamba atoe hela yeye, ajenge yeye, na pia kwa sababu anaelewa render hivyo afanye operations za mwanzo yeye, na pia mumuhakikishie atapata vipi hela zake.

Kwetu sisi ilibidi tukubali masharti, japo kwa kuhakikisha tupo makini kwenye mahesabu. Sasa anatujengea reli mkondo wote. Japo Mchina kagoma kwa Museveni maana alitaka Kenya imhakikishie kwamba Museveni atalipa hizo hela, kwani Uganda hajakidhi vigezo vya kukopeshwa. Hayo yamerekebishwa hivyo Mganda ameanza kuchakarika.
 
Muda mwingine Wakenya muone aibu kutumia lugha ya Kiingereza sio lugha yenu ni ya Wazungu!.

Sie Waswahili tunapeta na ya Kwetu- Kiswahili kitukuzwe!

wahaya wasukuma, wanyamwezi waswahili toka oman au wapi. give me a break!!!!
 


Kwa maoni yangu, deal tuliyopewa na mchina si mbaya. Nimefanya comparison na ile ya morroco na naona hatuku chinjwa. Tatizo ya Turkey ni kwamba haina haja na kufanya technological transfer. Kenyatta alitengeneza deal nzuri sana na wachina. imetusaidia had I tukaimprove quality ya cement tunayotengeneza.
 
Tumesema lets citation wacha nyenyenye mingi.....mnaleta ma figure mumekarangia hapo ....alafu za kenya mnaleta official figures leta source
Vipi mbona umeshtuka, we figure ulizoleta source ni nini?
Kama ulikuwa haujui ndio ujue sasa hiyo 7.6$ bn ilikuwa ni kwa ajili ya mradi mzima zaidi ya 1600km, hii tayari ilikuwa ni nafuu sana zaidi ya mradi wenu wa 600km kwa 3.8$ bn, kwa hiyo kama hiyo 7.6$ bn imepigwa chini kwa sababu ya another better deal, tambua tu ndio jogoo limeshawika Bongo.
 
Hiyo project ikikamilika, tutatumia dakika ngapi Dsm mpaka Moro?
 
Soma vizuri bwana iyo twitter post awajataja kiasi ila wamesema itakuwa financed na turkey na 7bn ndo umekuwa cancel ajasema kuwa 400km utajengwa kwa 7bn
 
We pumbafu wacha uongo dola $7.6 ilikuwa kwa mradi mzima wa 1600km siyo sasa tutazijenga kwa nusu ya gharama
Kenya 650km=$3.5bil
Tanzania1600km=7.6bil
Magufuli kasema hiyo $7.6 kwa 1600km tumepigwa gharama ya kujenga hizo km zote nikaribu nusu ya $7.6bil nadhani umeelewa
 
ambacho wengi husahau, kwa kenya, ndani ya hio $3.5B kuna $1.12B ambayo ni ya vichwa vya treni 54 na mabehewa zaidi ya elfu moja kwahivyo technically $2.6B for 609km.......
ile ya wthiopia walinunua treni kando, pia hio ya tanzania inakaa vivyo hivyo, pesa ni ya reli pekee na wala si treni.
 

Kwenye vichwa vya Treni nawe utaleta vile!!
hahaha!!
 
Za abiria ndo hizo mbili zimewasili bado zengine tatu..... Zenu ziwapi? Bado mpo kwa loan signing hata hamjaingia kwa contract signing Na kampuni, bado hata design

View attachment 464574 View attachment 464575
Hahaha D!!
Ukinyimwa aibu hujakamilika kabisa

Mnapo tangulia mnapaswa muonyeshe wenzenu kuwa mmefanya vitu vipyaaa!!

Ethiopia mradi wa 2008


Za abiria ndo hizo mbili zimewasili bado zengine tatu..... Zenu ziwapi? Bado mpo kwa loan signing hata hamjaingia kwa contract signing Na kampuni, bado hata design

View attachment 464574 View attachment 464575

Hahaha D!!
Ukinyimwa aibu hujakamilika kabisa

Mnapo tangulia mnapaswa muonyeshe wenzenu kuwa mmefanya vitu vipyaaa!!

Ethiopia mradi wa 2008


Haya cheki Morocco


Hatuwezi kujifunza kwenu kamwe!!

jana Zimbambwe wamekuja kujifunza kwetu kuhusu BRT
lakini kamwe kwa upuuzi huu
hatuji kujifunza ng''oo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
This is a very impressive thing, I like the way JPM handled this,
Siri ya Mafanikio ni Kujiamini tu, Usipojiamini hakuna atakaekuamini.

When it comes to our National interests, We must be the one to decide, African countries need to learn this.
Saafi sana ndugu
 
Na hiyo ya ethiopia ni light rail ya addis ababa ..keta trains zao za SGR yao na djibouti
 

after umemaliza kujitekenya na kujifanya kucheka, za morroco ni second hand, wakati kenya walituma hadi engineer kwa factory wakakaa huko muda wote hadi engine zikatoka nje ya plant......

alafu hio ya ethiopia umeonyesha ni light railway ya addis ababa....

SGR yao ya hadi djibuoti ni hii hapa

passenger train

pitia hapa utaiona
Analysis: Ethiopia Unveils 750 Kilometre Electric SGR.. But is it Better Than Kenya's?
 

Wewe hata hujui mambo ya trains, unalingtanisha trams na SGR Trains are you for real?
This are the Ethiopia SGR Trains


in comparison with


Then Morocco sourced second hand trains huoni vile imechoka already?? better we have ours manufactured under our watch than acquire a tired trains!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…