ccm hoyeeee!!!Machinga wanatoa ushirikiano mzuri tuu km hujui wanaosumbua wafanyabiashara wakubwa waliozoea wizi toka enzi za kikwete.
Campony au corporation.
Government corporation zinazoleta faida kuna TRC moja wapo ya corporation inayoleta faida mpk wafanyakaz wengine wanalipwa kupitia TRC unalipi lingine la kuuliza
Ngoja nikupe siri, watanzania kama watanzania hatuwachukii wakenya ila tunacho tofautiana ni mitazamo. Sisi tumelelewa kuupenda na kuuenzi uafrika wakati nyinyi mmelelewa ku uhusudu umagharibi, mko radhi hata kuuza utu wenu kwasababu ya kuwa karibu na wazungu, kwa faida ya muda mfupi. Sasa hapo ndipo tunapo "clash" kwa kuwa hatujui ni nani yuko nyuma yenu.Ni vile hawajajua wabongo ni watu wa aina gani maanake comments za Wabongo kwa Kenya kila mahali ni negative - hata wale ambao hawapo Jamii wako negative towards Kenya. Mimi pia nilikuwa hivo kabla ni interact na Watanzania kwenye forums kama hii na Skyscrapercity. Watanzania wana roho mbaya sana dhidi ya Kenya - ni kama kila Mtanzania anafunzwa kuichukia Kenya kuanzia utotoni hata kabla hajakutana na Mkenya hata mmoja.
Kuna jamaa mmoja alikuwa akilalamikia spidi kali ya SGR kufika Mwanza itazuia fursa, akisema zamani safari siku tatu mtu hata kama hawezi kuzoza akikaa na demu muda mrefu wanazoeana na kuna wengine walipata mke kabisa wakiwa safarini.Gogo la Tazara liko poa sana, enzi zetu wakati tunasoma tulikuwa tunapanda bure, actually tulikuwa tunarejeshewa na GoT pesa za nauli.
Mby to Bongo overnight trip tulikuwa tunashinda kule behewa la restaurant tukizipiga Mosi barida za Zambia, Ilikuwa safi sana, vijana siku hizi mnakosa mengi, ngoja tusubiri SGR tuone itakuwaje.
Hivo ndivyo mnavyojidanganya wakati mko radhi Mwafrika asifaidike nchini mwenu ila hamna shida akifaidika Mwarabu? Acheni kujidanganya.Ngoja nikupe siri, watanzania kama watanzania hatuwachukii wakenya ila tunacho tofautiana ni mitazamo. Sisi tumelelewa kuupenda na kuuenzi uafrika wakati nyinyi mmelelewa ku uhusudu umagharibi, mko radhi hata kuuza utu wenu kwasababu ya kuwa karibu na wazungu, kwa faida ya muda mfupi. Sasa hapo ndipo tunapo "clash" kwa kuwa hatujui ni nani yuko nyuma yenu.
Ufaidike nchini kwetu? Mwafrika yupi anafaidika nchini kwako?Hivo ndivyo mnavyojidanganya wakati mko radhi Mwafrika asifaidike nchini mwenu ila hamna shida akifaidika Mwarabu? Acheni kujidanganya.
Sasa mbona mnajifanya Pan-Africanist kama hamuwezi kubali Mwafrika mwenzenu afaidike? Waafrika wengi wanafaidika kwetu, Wabongo ni uzembe tu unawasumbua ndio maana hamuwezi.Ufaidike nchini kwetu? Mwafrika yupi anafaidika nchini kwako?
Afaidike kwa njia halali na sio ujanja ujanjaSasa mbona mnajifanya Pan-Africanist kama hamuwezi kubali Mwafrika mwenzenu afaidike? Waafrika wengi wanafaidika kwetu, Wabongo ni uzembe tu unawasumbua ndio maana hamuwezi.
Ombaomba, wanamuziki na wauza nguo za mitumba kutoka Tanzania wanafaidika sana Kenya.Ufaidike nchini kwetu? Mwafrika yupi anafaidika nchini kwako?
Kumbe hivi ndo wanahabari huchanganya watu kwa kupitia vitu juu juu, eti the SGR only transported 4 million tonnes and failed to meets its target of 8 million....
nice bila shaka chiefLatest from the ground, Marshalling yard coming up nicely
Marshaling Yard, Dar-Moro SGR by Monteckristo
Latest, Men @ Work....Dar-Moro
**Apologies for the poor video quality, they were taken from the site using a celly by one the engineers @workπ
Wame graduate kuendesha diesel locomotivesView attachment 1115506
1st batch of 11 KENYAN locomotive drivers just graduated.
Mwaga povu yote..inakubaliwaWame graduate kuendesha diesel locomotives
Wonders
Mtambo wa gongo ukiwa electrified wanarudi tena darasani! Yaani square one....!Wame graduate kuendesha diesel locomotives
Wonders
Hapo ndio imetoka, yani ukiona manyoya ujue kaliwa πππMtambo wa gongo ukiwa electrified wanarudi tena darasani! Yaani square one....!