Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #3,381
Hamna mwanaume anaita rafiki yake shoga!Sisi hatusikii vibaya mkitumia neno shoga kumaanisha rafiki .
Stima huku kwetu ni sawa kabisa, tena usisahau lahaja ya kimvita ni kubwa kuliko yoyote ya Kiswahili cha Tz
Zile movie zenu za kitanzania hilo neno hutumika sana ...Hamna mwanaume anaita rafiki yake shoga!
Zile movie zenu za kitanzania hilo neno hutumika sana ...
Na kama unasema hamna mwanamme anatumia neno shoga inamaanisha mwanamke akitumia ni sawa?
Additional - Nairobi commuter rail
Mbona sioni zile stations za gorofa tuliambiwa?
Naulizia za Tz.Serikali imeona haina haja tujenge ya ghorofa...si wajua tuna bana matumizi kw sasa
Unataka picha au video maana matomaso mko wengi 😂😂Naulizia za Tz.
Naulizia za Tz.
Uliambiwa station za ghorofa zitajengwa wapi na wapi? Umefatilia ukaona zinajengwa bungalow kwenye location husika? Kweli kila siku kuna kituko kipya Afrika! Uwe unaangalia zile progress video za yapi merkezi you tube.Mbona sioni zile stations za gorofa tuliambiwa?