Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nyinyi mlileta mitungi kabla ya kujenga reli?

This means you don't have the rail to begin with. πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…

Haujajenga nyumba wacheka ya mwenzio ina rangi mbovu. πŸ˜…πŸ˜…
 
This means you don't have the rail to begin with. [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Haujajenga nyumba wacheka ya mwenzio ina rangi mbovu. [emoji28][emoji28]
Kwan hiyo inayojengwa nini barabara au???
 
Sasa mjomba hivyo ni vitu vya kawaida tu,vitu anavyowajengea mchina leo kashajenga tz-zambia miaka ya 70's hukoo,tembea ujionee hakuna kitu kipya hapo
Usidandie topic tu hivi hivi bila kusoma ilianzaje, Kilam alisema reli yetu sio quality, mimi nilikua namuonyesha quality ya reli yetu... Sasa wewe unadakia na story za Tazara! Tazara ni reli iliojengwa na design capacity ya 5million tonnes, unataka kulinganisha na SGR ya Kenya ya sasa???

Sasa ukisema hakuna kitu kipya kwa hii reli yetu ya mchina ambayo wanatumia latest standards walizo fanya utafiti na kuboresha, je tuta sema nini kwa hio reli yenu inayojengwa na mturuki kutumia AREMA standards, Unafikiri hakuna reli kama hio duniani iliojengwa hata 1960????


Hebu nionyeshe hii technolojia ya hanging basket ikitumika hapo kwa Tazara












-------
Hata hio reli yenu mpya ya SGR, hakuna kitu kipya cha kuona hapo, Ukiangalia kila kitu kinafanana na reli ambazo zishajengwa nchi nyengine..
 
Tofauti Yao ni ya duara
Si unajua Chinese rail standards ni modification ya American and European standards.... enzi hizo za Tazara naona bado walikua wanafanya research madarajaa yao alikua yanafanana na American..... hata hio shape ya hilo daraja linafanana na zile daraja zenu za SGR pale dar...

Angalia shape ya hio vertical pillar, exactly the same







Hio ya duara ndo inatumika sahii huko China... Kama hili daraja walilovunja rekodi nalo, hili daraja linamalizika mwaka huu 2019, ndo litakua the largest Railway bridge/Viaduct in the world!! Tazama vile linafanana na madaraja waliojenga huku Kenya,



 

Now give me technical differences btn the two structures! SGR Mombasa-Nrb has a bridge same as TAZARA's!
 
Now give me technical differences btn the two structures! SGR Mombasa-Nrb has a bridge same as TAZARA's!
Even i I could, I don't have to cause they are far apart! Its like comparing a 1970's Volkswagen Beetle with a 2017 model, they kinda have a resemblance but they are not the same



 
Nairobi - Naivasha Signaling and Communications system being installed and configured at one of the new stations








 
SGR yenu na MGR yetu ina tofauti ndogo tu,
Hiyo tofauti ni hizo herufi tu S na M.
Huhuh ndio wanataka kucompare hii na ile kitu ya mturkey.
Chinese wako better by a very enormous margin gap.
Kama uko na pesa enough,,,pea mchina kazi kama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…