Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #4,001
We unajua height ni meter ngapi apo?Hayo mahandaki ni madogo sana.Ile inayoitwa 'double stack' itapita hapo kweli?
Usisahau mtambo wenu wa konyagi utapita kwenye low quality rail.Stesheni za maghorofa zinafanana na vyoo vya umma vya Mombasaza Mtambo wa chang'aa hazipiti ila electric train zinapita bila matatizo
Usisahau mtambo wenu wa konyagi utapita kwenye low quality rail.Stesheni za maghorofa zinafanana na vyoo vya umma vya Mombasa
Dah π³ kumbe nabishana na boxerHujui kuwa pombe ya konyagi ni bora kuliko pombe za kienyeji changaa [emoji23][emoji23][emoji23] low quality ulipima? Ulitumia vipimo gani? Na lini ulipima? Ulikuwa na nani ukipima?
Gari moshi.
Dah [emoji15] kumbe nabishana na boxer
Niki-retaliate kidogo mnahemka balaa.#4023ππSibishani na bra [emoji23][emoji23][emoji23] nilijua mwanaume
Does this mean award of tender or they are evaluating the received tenders?
...Yajayo yanafurahishaπHalafu ametumia picha za Germany DB trains. Kwa hivo kuna uwezekano wa kuagizwa treni za Siemens ama vipi π
Nawaseme Lingine maana hili ni pigo kwao ππ
Kelele za. Twitter za serikali usifuate,,,kazi ikianza kuonekana physically ndiyo tutaamini,Nawaseme Lingine maana hili ni pigo kwao ππ
Inaweza isiwe tayar Nov lakin double stack ipo palepaleKelele za. Twitter za serikali usifuate,,,kazi ikianza kuonekana physically ndiyo tutaamini,
Huwa nadanganya kama mazuzu nyinyi,
Nakumbuka tweets za "november tunatekeleza rasmi" acha tuone iyo November kama sgr itaanza kuwork
Inaweza isiwe tayar Nov lakin double stack ipo palepale
ha haa umeuwa kakaza Mtambo wa chang'aa hazipiti ila electric train zinapita bila matatizo
wataelewa tu