Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Yani hilo eneo ambalo liko green ndo unaliita semii Arid!!! we acha ulevi!!!! Nyinyi Tanzania hamjawahi ona wala kujua ukame na uhaba wa maji ni nini. Hata hapo dodoma ambapo ni semi arid, Mto rufuji hauko mbali na dodoma, kumaanisha water services inaweza kufikisha maji kirahisi....

Hebu linganisha hizi satelite image utofautishe huko northern Kenya Vs Northern Tanzania








Tena mito mmejaza kibao




Sasa linganisha na mito yetu iliobaki







Hio sehemu ya Marsabit hivi ndo inakaa









Maeneo mengine huko marsabit ni full blown desert -- Chalbi









Pitia hapa uangali marsabit town ambayo iko upande wa pili wa mlima (Sehemu ilio kama osasis) inavyoendelea kujengwa tangu tuanze ugatuzi
 
Kuna mmoja wenu ali sema ata Tz kuna maeneo yamechapa kama huko Kenya kaskazini ndiyo nika anza kumjibu. Too bad hilo eneo lipo pembeni ya Kenya. Ila kuna kitu kina weza fanyika na kuondoa hiyo hali, mfano serikali yenu inge amua huko kujengwe ma vyuo, viwanda, maji yapelekwe, miti na mazao yanayo stahimili ukame ipandwe kwa wingie.t.c. ila i admit Tz sijaona sehemu ina ukame kama huo. Nakusahihisha kaskazini mwa Tz siyo kame ila ni katikati mwa Tz ndiyo kuna ukame e.g Dodoma.
 
Kupeleka bomba hadi huko itabidi litoke Centrak Kenya hadi huko ...
Jambo ambalo lilikua limefanywa na serekali ni kuchimba visima vingi vya maji huko kaskazini, lakini tangu mwaka jana inasemekana hivyo visima vyote vilikauka!

Lakini kuna eneo ambalo linanishangaza ni hapo Turkana county.... Hao ndo hupata pesa nyingi baada ya Nairobi County. Tangu 2013 hadi 2019, Turkana imepokea jumla ya zaidi ya $500m, lakini hakuna lolote limegeuka hapo Turkana! hizi psa zote sijui huyu gavana aalitumia kufanya nini badala ya kupeleka maji!

 
Hizo pesa ni nyingi sana kutokuleta utofauti, hapo watu watakua wanapiga pesa. Hivyo visima sitaki kuamini walikosekana wataalamu kuliona hilo la visima kukauka. Kabla kujengwa lazima tathimini hufanyika ata Tz hilo la visima kuchimbwa na kutokutoa maji limetokea sana ila chamoto wamekipata baada ya Magu kuingia. Sasa hivi kila mradi wa maji unatoa maji na ile ambayo haikutoa watu wamerudishwa site na watendaji kuchuliwa hatua za kisheria. Huwa nawashangaa wakenya mnao msema Magu kuhusu sijui u dictator! Africa raisi hapaswi kukenua kenua, adabu hakuna. Kuna mtu aliniambia Uhuru amekulia kwenye pesa kwa hiyo pesa wanazo iba watendaji wake yeye anaona ni ndogo nakuchukulia sawa tu.
 
That woman had great points until she went of the rails. It is a rant not a coherent statement.

However I do understand her frustration, how the fvck has the governor and county government not planned for this kind of adversity?! Totally mind boggling

County and national officials need to be held accountable here and solution presented to prevent this kind avoidable crisis
 
The media has their points skewed. Things are changing.
A number of irrigation schemes are up and the future looks bright for these fellows in Turkana
 
Kuna sehemu flani flani ndogo za Turkana ziko hivyo, iko one the other side of the desert area beyond the hills, its a geography phenomenon, I think hua inafundishiwa senior primary school. but on the other side of the hill its just bare land with only shrubs.

Like this zoomed in satellite image in Turkana, it shows one side of a hilly area having a small forest, the the other side is desert. the real triumph would be to turn that desert area into a livable place.


 
Ile kauli ya "mficha maladhi kifo humu umbua" wewe umeilewa vizuri, keep it up.
 
From Central Tanzania onwards, the Rift Valley drops less than 400 meters and in most of its length, one may not even be aware one is crossing the Rift Valley
Only in the Northern part around LakeNatron is there visible evidence of the Rift.
On the other hand Kenya's Rift drops by over 1000 meters from Nairobi to Naivasha and rises by over 2000 meters westward(the old Railway reached up to 3000 meters at Timboroa for example)
Can you show any railway in Tanzania that drops by 1000 meters then rises by 2000 meters ANYWHERE???
Please. Revise your Standard 5 Social Studies
 
Tazara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…