Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR Phase I: 70% and counting...

MY TAKE
If the cable stayed bridge will need 3 months to complete, the December 2019 deadline for the project completion won't be met. 😑

Hao yepilay wanazingua kwenye ujenzi hiyo speed sizani ata kama mwakani watamaliza
 
It will have to pass underneath the new gerezani bridge ..kulikuwa na plans kama hizo nakumbuka
i guess hata pia Nyerere road, they will have to pass underneath kama narrow gauge! BTW kuna plan ya flyover makutano ya Changombe road na Nyerere road
 
i guess hata pia Nyerere road, they will have to pass underneath kama narrow gauge! BTW kuna plan ya flyover makutano ya Changombe road na Nyerere road
Kuna ujenzi wa daraja la Rail over Rail at Changombe/Neyere road and halafu pale Nelson Mandela road kuna ujenzi wa daraja jingine...
 
So kwa sasa hutujui vile container za cargo zitafika kubebwa na hii train? Kenya reli ilifika mpaka kando ya meli , direct transfer. Kuna mpango kama hii Tz SGR?
Kumbuka passengers hawataleta pesa itatosha, loss making. Cargo ndipo pesa iko.
Wapi train zenyewe? 1 month to proposed completion date hakuna picha au jina ya model ya train itakayo kuja?
Hii itamalizika 2021
 
The project won't be ready in December! But in mid 2020! The TRC managing director has explained 6 months from now!

Tunajua, mzigo toka bandarini utabebwa kwa shunt trains ambazo ni MGR hadi dry port inayojengwa hapo nje kidogo ya jiji. Toka hapo, mzigo utabebwa kwa SGR kwenda bara. Passenger train ndio itakua inatumia SGR na MGR kuja mpaka stesheni mpya....
 
Ila connection ya SGR to Dar port ipo pia kwenye design
 
Tunajua, mzigo toka bandarini utabebwa kwa shunt trains ambazo ni MGR hadi dry port inayojengwa hapo nje kidogo ya jiji. Toka hapo, mzigo utabebwa kwa SGR kwenda bara. Passenger train ndio itakua inatumia SGR na MGR kuja mpaka stesheni mpya....
Answer this if you don't mind..
Sgr-mgr interaction, long term or short term?
Ruvu dry port(if that's what u are talking about) is 70km away, the marshalling Yard is in or about the same place.What's the rationale?
Does it also mean you'll have an sgr offshoot to this dry port?
 
The project won't be ready in December! But in mid 2020! The TRC managing director has explained 6 months from now!

Mumebadilisha magoli?? Kama kawaida
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
It is not long term, the SGR will go to the port in the near future.

The Ruvu dry port is going to be linked with the Marshallling yard, that's why you see they are roughly located in the same place
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mid 2020 i hope Naivasha (nowhere) - Kisumu section will have kicked off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…