Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Then Uganda have already compensated people along the route
 
Uganda wa join Sgr yenu ya hewa😀
 
Kilam hiyo ramani siyo ya Tanzania. Au tuseme haijakamilika!
 
Kuna ramani kama nimeona umeweka inaonyesha reli zetu, au so wewe? Kifupi hiyo ramani haina sehemu ya ziwa letu la Nyasa!
 
Kuna ramani kama nimeona umeweka inaonyesha reli zetu, au so wewe? Kifupi hiyo ramani haina sehemu ya ziwa letu la Nyasa!

Hii ama?

Kama ni hii ingawa sijaiweka mimi lakini inaonesha mtandao wa reli ya kati, sehemu ya kusini mwa Tanzania haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…