Naona umetolewa ushamba na mwenzako sasa Una kuja kutoa aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unashabikia wakati zenu hazifanyi kazi!
Yaani SGR haikua inapitia mji wa Dodoma? Capital city of Tanzania?According to the same Africa intelligence the
Rail projects is heading for the buffers
Cross-border rail projects between Tanzania, Rwanda and Burundi.
For all the hype, the future cross-border rail link projects are going to struggle to remain on track. According to well informed sources SGR itamalizia Makutupora . Na sasa tunakarabati reli ya zamani kufikia Rwanda , Burundi na DRC
View attachment 1395523
Sent from my iPad using JamiiForums
😂😂😂😂 Ccm Aki mungu anawaonaYaani SGR haikua inapitia mji wa Dodoma? Capital city of Tanzania?
Itabidi Tanzania ichuke expensive commercial loans $10b kumaliza reli mpaka Kigali na DRC, sijui kama Tz ina nafasi kwenye bajeti kulipa loan kama hizi bila kuumiza sector zingine za economy. Kenya $5b pekee imekua heavy eater ya budget na Kenya collects double the taxes and almost double GDP , mombasa Nairobi is busy and generating good revenues.
Sasa hii reli ya Tz itabeba nini? Rwanda na Burundi are tiny economies and only DRC minerals will make this railway slightly viable, otherwise hapa mimi sioni reli hii ikifika kigali hivi karibuni. Ukitaka kujua project inaoneka viable, loan come from development partners kama world bank, afdb, exim bank, au bilateral loans which are cheap, ukiona loan ya benki yakawaida, jua hio ni political project.
Reli bila kufika bandarini na kufika DRC ni white elephant tupu....
Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..Asante kwa kukubali ya kutokua na uhakika kuwa SGR itafika bandarini.
Ubebaki kuwaza itakuja kwa tenda nyengine.
Ukweli hamna tenda mpya TRL wanakarabati tu njiaza zamani mpaka kibaha. Kaulize lumumba utaambiwa
Sent from my iPad using JamiiForums
10bn usd imefikaje ..reli inafika dodoma na inaenda makutupora ni sehemu mbilu tofauti..kuhusu DRC ...itachukua muda ..cause ni tender kati ya rwanda na DRCYaani SGR haikua inapitia mji wa Dodoma? Capital city of Tanzania?
Itabidi Tanzania ichuke expensive commercial loans $10b kumaliza reli mpaka Kigali na DRC, sijui kama Tz ina nafasi kwenye bajeti kulipa loan kama hizi bila kuumiza sector zingine za economy. Kenya $5b pekee imekua heavy eater ya budget na Kenya collects double the taxes and almost double GDP , mombasa Nairobi is busy and generating good revenues.
Sasa hii reli ya Tz itabeba nini? Rwanda na Burundi are tiny economies and only DRC minerals will make this railway slightly viable, otherwise hapa mimi sioni reli hii ikifika kigali hivi karibuni. Ukitaka kujua project inaoneka viable, loan come from development partners kama world bank, afdb, exim bank, au bilateral loans which are cheap, ukiona loan ya benki yakawaida, jua hio ni political project.
Reli bila kufika bandarini na kufika DRC ni white elephant tupu....
Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..
Ulitaka ujenzi wa reli usubiri flyover ikamilike ndo kisha uanze?
Ulitaka tumlipe Yapi kujenga reli kwenda bandarini bila kuwa na uhakika flyover itajengwa lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Reli hua haifiki bandarini kwa mdomo ila kwa matendo.Nina uhakika itafika bandarini..ulitaka wajenge muda gani..SGR wakati flyover haijakamilika bado ..au ulitaka reli ipite wapi cause hii flyover ikijengwa ndo kutakuwa na nafasi kubwa chini ya kupitisha reli....au huelewi hilo..
Ulitaka ujenzi wa reli usubiri flyover ikamilike ndo kisha uanze?
Ulitaka tumlipe Yapi kujenga reli kwenda bandarini bila kuwa na uhakika flyover itajengwa lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani alivyo screenshot hyo video alikuwa anamaanisha hyo ndio sgr..Hivi wewe uko mji gani ? Uashawahi kuogelea Pwani ? View attachment 1395424Maana unavo hangaika ku screenshot video bilaView attachment 1395423 kujua hizo railing ni za kitu gani. Aidha ushamba wa kutowaji kuogelea pwani kuona bandari au kupotosha makusudi kulaghai.
Hizi screenshot zako sio njia za reli hizi ni njia za Container terminals ambazohutembea hapo wakati ikishusha containers kutoka kwenye meli hadi kwenye Trucks.
Tungekua na rail hapo basi ungeona njia za SGR pembeni hivo container ikushushwa kutoka melini inapakiwa kwenye trai moja kwa moja.
Baadhi ya picha kutoka bandari ya Mombasa na nje ikionesha Njia za Container terminalsView attachment 1395422b View attachment 1395426
Sent from my iPad using JamiiForums
Hiyo trein ilikuwa designing kwa ajiri ya mizigo Tena wakilenga nchi zisizo na bandari Sasa naona kijasho kinakutoka Kama waziri wa miundombinu.Bomba imewaingia Macos hawa
Sent from my iPad using JamiiForums
Hiyo trein ilikuwa designing kwa ajiri ya mizigo Tena wakilenga nchi zisizo na bandari Sasa naona kijasho kinakutoka Kama waziri wa miundombinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenu ilifika Bandarini ila this is what happening now!
Zitatosha? Hapo man ni Maombi ndugu yangu, bidii peke yake ni bure ratiba ziendelee Mungu atatupigania.Na kwa vile mradi uko nyuma sana kuliko ratiba yake. Ni vema sasa mradi uka simamishwa na fedha zikaelekezaa kupambana na Corona.
Sent from my iPad using JamiiForums
Una agenda tofauti 😎Na kwa vile mradi uko nyuma sana kuliko ratiba yake. Ni vema sasa mradi uka simamishwa na fedha zikaelekezaa kupambana na Corona.
Sent from my iPad using JamiiForums
Ila Mzee usikubali upotoshaji huu maelezo yote yapo online SGR itafika mpaka kwenye berths kutokea Ilala Shaurimoyo kupitia underpass daraja la gerezani! BTW ujenzi wa viaduct unaonyesha hilo! Kinachotokea ni pilikapilika za miradi BRT na DMGP zimesababisha kusubirisha ujenzi wa line ya SGR cargo!Watu povu litawatokeeeee mpaka mkome. Mbona south Africa bandari kuu ni durban lakini wana treni ya umeme joburg to Pretoria. Kwani lazima hiyo treni ibebe mizigo! !? Tutapanda wenyewe kwenda moro. ....na kwenye mashamba yetu ya mpunga ruvu. Na ole wenu mje kuomba chakula huku. Shenzi tym! !!
Sent using Jamii Forums mobile app