Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tz SGR phaseI 75% complete, vipi apo mzigo utaisha lini...

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimepata bahati mwezi wa March kupita kwenye mradi wa SGR kuanzia Pugu Soko ya ngombe hado Soga kwenye office na karakana kuu la SGR.
Kipande hichi Mataruma au njia ya reli 80% kimeisha.
Nguzo za umeme 30%
Niliona Tanesco nadhani wanaweka power station
Katikati kuna by pass na vidaraja ambavo bado kumaliza
Kuna maeneo ya milima ambako wamekata kupita reli wanatandaza artificial grass kwenye majabali na mambonde , yanavutia
Kipande kutoka Pugu hadi station kipo 60% au chini ya hapo kwani finishing yake ni complicted kidogo kutokana na kupita juu maeneo mengi.
Ama kuhusu kutoka soga hadi morogoro sijui finishing iko % ngapi.
Overall kazi ya kutandaza umeme na nguzo iko bipande vipande na lately speed iko down kuliko mwanzo.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
kutandaza nyaya haichukui muda mrefu haswa palipokuwa na nguzo na kama umeangalia nyaya hutandazwa kwa kuwekwa wireroll kwenye truck inayopita juu ya reli!
 
Maeneo Korofi

A: Kipande cha Dar - Moro, kuna maeneo makubwa makorofi matatu:

1: Vilima vya Pugu: Hapa inabidi kukata maeneo ya milima kwenda china zaidi ya mita 70 ili kupata level

2: Eneo la mto Ruvu: Hapa ni kama flood plain huwezi kujenga daraja moja ukamaliza, mvua zikija utajikuta reli yote iko ndani ya bwawa, hivyo basi inabili kujenga madaraja mengi pamoja na mifereji mingi.

3: Eneo la vilima vya Ngerengere: Hapa kuna vilima vyenye mwamba mgumu sana (ndio maana JWTZ hawakukosea kupachagua kujenga underground airfields) inatakiwa kuchoronga ili kupata level pamoja na kujenga series of madaraja.

B: Kipande cha Moro - Dom kimetawaliwa na maeneo mengi mazuri kwa ujenzi yaani: tambarare na udongo mwepesi, ispokuwa eneo moja korofi la Kilosa - Gulwe, pale kila mwaka hua kuna mafuriko ya mto Gulwe ambayo husabisha reli kubebwa.

Ndio maana design ya Yapi pale ni kujenga tunnels 4 zitakazoungnishwa na madaraja.

Kuna uwezekano mkubwa wa kipande cha Mor-Dom kumalizika kabla ya muda.

Blacksmiths said:
Mbona kipande cha Moro-makutopora naona kinaenda kwa kasi kuliko cha Dar-moro?
Huwa inategemea na jiografia ya eneo husika
 
Safi sana mkuu umechambua vzr [emoji122][emoji122]
 
mkuu hapo sawa nakupa heko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…