Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

HIzo za kubeba 20 Containers ndo unakuja kuturingia? Mbona hua lazima ujaribu ku counter kila kitu cha Kenya? si usubiri tu SGR ndo uje uringe badala ya kuji aibisha na mabehewa 20 juu ya treni moja


Tanzania's MGR competes with Kenya's SGR at any time! When was Naivasaha ICD launched? In December right? n started receiving cargo in May right? We launched in May and is already receiving cargo!

 
Je unakumbuka utata ulikua unatokana na wapi, manake hii ulioleta inadhihirisha kile tulichokua tunasema
Utata ulikuwa kama ifuatavyo:

1. Kuna waliodhani kuwa ujenzi huo ni sehemu ya malipo kwa mkandarasi yapi ($1.2bln) na kwamba mkandarasi ndiye anayegharamia ujenzi huo.

Sasa iko clear kuwa hiyo ni nje ya main contract.

2. Kwamba ujenzi huo uko nje ya mkataba ila gharama yake ni kubwa kiasi kwamba hakutakuwa na tofauti ya ki-gharama baina ya SGRtz na ile ya +254 ambayo ujenzi huo ulikuwa sehemu ya main contract na ikafanywa na main contractor.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL ya Dar-Moro 160 km ni less than $35 mln! Na Morogoro-Dodoma-Makutupora 410 km ni less than $95 mln! Kumbuka electrification ya Mombasa-Nairobi SGR Kenya was to cost $400 mln!

 
TBT technical specifications on TL
 
Haya ni majibu niliyowahi kukupa huko nyuma
Je unakumbuka utata ulikua unatokana na wapi, manake hii ulioleta inadhihirisha kile tulichokua tunasema

Maana ya "build" ndio hujui ama nini? Hapo juu wamesema vizuri ati transmission line will be build by TANESCO.

Sent using Jamii Forums mobile app


So far Dar-Morogoro-Dodoma-Makutupora's TL cost is around $130 mln out of $150 mln i estimated earlier!

TL ya Dar-Moro 160 km ni less than $35 mln! Na Morogoro-Dodoma-Makutupora 410 km ni less than $95 mln! Kumbuka electrification ya Mombasa-Nairobi SGR Kenya was to cost $400 mln!



But Tanzania Railways is a customer right? BTW the cost of Dar-Morogoro is $1.2 bln n not $1.9bln! $1.9bln is the cost for Morogoro to Makutupora! As we speak Tanesco is building not less than 4 TL across the country n longer than Dar-Moro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…