Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Uyu Archtect shikamoo, this idea of using the shape of minerals is genius, this is not only going to be found in Kenya but also in all other nations in Africa and maybe in the world
Sana ndugu yangu.Hapo katikati nilianza kupata wasiwasi ila sasa naona kitu kinakuja chenyewe mdogo mdogo.
 
Waturuki walisema mwanzo, tunaenda kutoa vitu vya mfano Africa kupitia hapa Tanzania.

Tumshukuru Mungu kwa kumpata JPM kipindi hichi, otherwse tungekuwa kwenye maombolezo kama wakenya, yaan SGR yao bado mpya watu washagomea na ukizingatia ilijengwa kwa inflated rates ina maana inabidi watafute pesa sehmu nyingne ili wawe wanalipa deni hilo ina maana kutakuwa hakuna maendeleo mpka Madeni yapungue ukiacha ayo maprivate sectors wanaojenga majengo ambayo wananchi wachini hawawezi kumudu. Officially Kenya is failed state
 
Ngoja pale watakapowasha mood lights jengo zima litakuwa likiwaka waka hewani Kama kitu ile original ya kutoka mireraniπŸ™‚
Hatari sana bro,I can imagine hii ngoma itakavyo'shine usiku dah!!!!!!!!!Jiwe la Mererani lile pale.Afu ndani liko sophisticated kinoma.Bravo.
 
Sana ndugu yangu.Hapo katikati nilianza kupata wasiwasi ila sasa naona kitu kinakuja chenyewe mdogo mdogo.
Heheheheheeee mzungu aseme tutajenga tanzanite hapa af icwe hvyo, nani kasema, nilikuwa nawaangalia tu Wakenya wakisema haifanani na render nkawa nasema kimoyomoyo kwamba watatii tu ngoja ifike ukingoni [emoji3][emoji3]
 
HAhaha, reli ambayo maximum tonnage haifiki hata 2 Million tonnes p.a! wacha kujiliwaza geza
 
Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

wapi lenu lenye glass and steel! Wacha ufala main structure ya jengo lolote lazma liwe na pillars za concrete! I repeat Kunyaland nzima haina jengo kama hili!
 
Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BTW i was comparing ur Nairobi terminus to Dar bus terminal but i have realized Dar Bus terminal will have no comparison in the EA!

Now Nairobi Terminus is equivalent to Mwanza bus stand!
 
Heheheheheeee mzungu aseme tutajenga tanzanite hapa af icwe hvyo, nani kasema, nilikuwa nawaangalia tu Wakenya wakisema haifanani na render nkawa nasema kimoyomoyo kwamba watatii tu ngoja ifike ukingoni [emoji3][emoji3]
Stesheni zile zilizokua zishamalizwa, akina ruvu na sijui soga ndo tulisema zilikua hazifanani na render manake kwa render tulionyeshwa kitu smart alafu reality kumbe ilikua ni ka kiosk ka mabati alafu hapo nje wanaongezea cladding ya kuficha πŸ˜‡
 
Tumia akili ndo maana mmejenga SGR halafu inagomewa kutumiwa Pugu Soga, Ruvu na Ngerengere ni sehemu zenye wakazi chini ya 20,000! Sasa tujenge SGR station kubwa ya nini? Si bora kununua more rolling stocks ama gharama yake kutumika kujenga the remaining phases instead of big white elephant buildings like Suswa!

So tell me aside size, what's missing when Pugu Soga, Ruvu na Ngerengere stations r compared to ur stations?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…