Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Naomba mwenye jedwali la bei ya usafiri wa treni kutoka Dar kwenda Arusha
 




#UkaidiwaMagufuli#
#Akilizahandshake#

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
We chokoraa wa Kibera kuja hapa ss uongee upupu wako tena, I told you[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
hapa katikat wasilitegemee hili tuta, wajenge tu daraja moja kwa moja
View attachment 1464896
Heko kwa ku post picha ambayo inawaonyesha wajenzi pabaya, bila kuwa na msimamo wowote wa ki siasa au ushabiki wa kijinga, Kungekua na watu.
Ingekua watu kwa forum wanajadili ki hivi basi forum hii ingekua nzuri sana...

Anyway, hii ulio onyesha hapa ni changamoto moja ya kujenga mahali flat ambapo hua pako na maji mengi msimu wa mvua (swampy), unakuta maji hayana mkondo wa kufwata, ni lazima uyangojee yadidimie sakafuni au yakauke kwa jua..

Hapa itabidi watengeneze mtaro mrefu sana ambao utaondoa maji na kuyapeleka sehemu nyengine iliopo kwa mteremko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…