Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

hiyo si fact itakuwa ni Factless[emoji4][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

yaani mtungi wa moshi una compet na electric train ambayo yenyewe inahitaji vitu vingi vya zaida ikiwemo nguzo za umeme zitakazo connect train ili iweze kufanya kazi...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kweli ni STUPIDITY KENYAN
 
Acha kutumia makalio kama ubongo. Kama sio fact. jibu haya maswali
i) Phase 1 mumemaliza ama bado iko porini ikingoja wafadhili?
ii)Hiyo treni ya umeme umeiona ama bado ni kuota unaota?
iii) Mbona mnachelewa hivyo kwa kuweka track peke yake,pesa ndiyo hamna?
iv) Mbona stesheni za reli zenyewe bado hazijaisha?

Ujinga ni kulinganisha ndoto ya mwaka wa tatu sasa na mradi ambao ulianza kufanya kazi miaka tatu iliyopita.
 
Ni kweli kabisa hata mm huu uzi huwa naushangaa sn ingepaswa uandikwe hivi[emoji116][emoji116]

Cost comparison between Tz mgr and Kenya diesel sgr
 
Kusubir wafadhil ndicho kipo kwa iyo ubongo matope unadhani hii ni kunya .? Tatizo zilikuw ni mvua km umesha wai skia sehem moja inaitwa ruvu huwa inahal y swamps plus mvua ni majanga pia kuna viboko n mamba so haikuw rahis lkn mpk sasa madaraj yale yamefk 75 +..pia mvua ziliachelewesh maeneo mengine y mradi km unahis tatizo la fedha leta ushaid unaonyesh mkarasi hajalipwa bada y kuleta shada yake....maswala y kuoder train ww tuliza ball likifik utambiw
 
HAHAHA, Leta facts sio ndoto za abunuwasi. Feelings peleka kwa bibi yako.
i) GOT inaomba deni kutoka standard chartered bank kumaliza phase 1 ambayo imekwama.
ii) Treni hakuna.
iii) stesheni ni magofu tu.
iv) 75% kutoka mwaka jana, inamaanisha mumekwama jomba. Hiyo ingine ya mvua ni hadithi ya paukwa.

Ujinga ni kushindana na yule anayekuzidi! ethiopia walijaribu hiyo sasa wamebaki na treni za umeme ambazo hazibebi hata nusu ya cargo yenye ya kenya inabeba kwa miezi 4.
 
Ukumbuke pia hiyo ya umeme hitaweza kushinda ya kenya kwa kubeba mizigo. Yenyu itaweza kubeba only 16 million tonnes kwa mwaka wakati yetu inabeba 22 million tonnes kwa mwaka. Ni vile reli yenyu itakuwa hafifu, haitaweza kustahimili uzito wa cargo kama ya kenya.
Kwa kifupi, Treni moja ya mizigo ya kenya ikileta cargo Tanzania, hapo kwa border itabidi Tanzania ilete treni mbili ibebe mizigo yenye treni moja ya kenya inabeba au treni 4 za mgr.
 
Kutoka stesheni ya dar hadi Pugu pia imekua delayed na mvua? Miezi 4 naona progress ni ile ile, daraja hazija malizwa. At current pace i dont see first 100km being done within 1 year. By the time first train reaches morogoro Nairobi expressway will be complete. Trains not procured, after procurement it will take year to construct them.
Reli hii ita anza kazi 2023
 
Izo porojo pelekea kunya....ikianza utakaribishwa uje ujione n kupnda the real EMU
 
acha ushoga mzee wa kuliwa back[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]tumia akili yenye akili usitumie akili isiyo na akili

ishu siyo kumaluza ama kutomaliza kwani ni lazima itakamilika tu..

"ishu ni umetumia akili ya mavi kucompare gari moshi ambalo utengenezaji wa reli yenu ni cheap unaweka tuta unapandikiza reli na baadhi ya vidaraja kidogo kisha baadhi ya vitunnel ngoma imeisha....
tofauti na ya umeme ambayo yenyewe itahitaji vitu vingi vya ziada......

tungekuwa tunatengeneza straight rail kama yenu tungekuwa tushamaliza kabla ya wakati tena 1000km[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…