Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Anhaa kumbe co 202km ni 205km pia ikikamilika itafika 1231km aisee ndefu sn comparing with Kenya sgr which is only around 400km[emoji122][emoji122]
Key word bieng, ikikamilika,

Sisi huku Kenya so far tuko na phase 1 ambayo ni 472km na phase 2A ambayo ni 120km, kwahivyo tuko na 592 km za SGR
 
Geza, sijui hua unakula nini. hua unapenda kujichanganya sana........

Hii ndo comment nilioweka





Alafu wewe unakuja na moto kana kwamba nimesema kitu cha uongo alafu unapost screenshots ambazo zina confirm kile ambacho nilikua ninasema! Sasa hapa kwa hii screenshot yako, niambie ni nini kinatofautiana na nilichosema?








Just FYI incase umechanganyikiwa bado:


Dar - Moro

Route length = 205km
Track Length = 300km



Kwenye hesabu za reli hautumii track length, unatumia route length, kwahivyo tutasema Dar-Moro SGR is 205km and NOT 300km, Vile vile Kenya SGR from Msa-Nrb ni 472km and NOT 609km which is the track length.
 
Whaoo this thread is +500K plus! Seems the topic has a wider following by Kenyans.
 
Zinangojeana vituoni nipe evidence ya 50 km of a parallel line outside the stations!
U make that claim since Mchina hakujenga parallel line ili kuruhusu kupishana!



Soma tena nilichoandika naona kiswahili kimekutupa!

Nilikua nataka ujibu swali ... Unajua sometimes mwanafunzi akiuliza swali la kijinga, we kama mwalimu inabidi umuulize huyo mwanafunzi maswalli kadhaa alafu katika yale majibu huyo mwanafunzi atajikuta kumbe amejijibu mwenyewe!


Kwenye hizo stesheni za Kenyakuna loop lines ambapo treni zinapishana,

Tanzania hamna double track (parallel lines), mko na hizo loop lines na station sidings ambapo treni zinapishana kama sisi ! Ile screenshot ulio ileta mwenyewe inayasema hayo kabisa!









And FYI, Kenya SGR from Nrb-Msa kuna 9 passenger stations, but outside hizo stations kuna about 31 points ambako kuna loop lines ambazo zinaruhusu treni kupishana, so in total there are about 40 different places within the route ambako treni zinaweza kupishana
 
Noted.
 

sijui mambo ya loop lines! ila loop lines ni nn? na hii kwenye pic nimepost ni nn? na wala sio karibu na kituon hapo
waweza kuingia youtube uangalie distance ya 102-106 km
nasubir majibu uniambie hii kwenye pic ni loop lines or parallel lines au ni nn!
 
We kichwa maji unadhani treni zinapishana kama gari pale tandale?
Si nyinyi ndo mlisema train zenu zitakua 5km long no wonder the Long loop lines.
??
 
We kichwa maji unadhani treni zinapishana kama gari pale tandale?
Si nyinyi ndo mlisema train zenu zitakua 5km long no wonder the Long loop lines.

point yako ni nn hapa?

on the other hand, treni zina urefu wa 2km, otherwise onyesha proof kama mtu alisema treni zina urefu wa 5 km! najua hutopata hii!!
 
point yako ni nn hapa?

on the other hand, treni zina urefu wa 2km, otherwise onyesha proof kama mtu alisema treni zina urefu wa 5 km! najua hutopata hii!!
102-106 si ni 4km hio double track si ndo yakupishana.
Mbona uelewa finyu ivi we ubongo kulala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…