Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hua wako na ushindani wa kitoto sana, ngoja utaona next itakua wanauliza arrangement ya viti ndani ya jengo, au air condition vents zetu ni ngapi?
Wabongo wanashanganzwa na escalators wakati huku Kenya ziko hadi kwa MGR stations. This is Syiokimau station that serves the Nairobi commuter trains. It's much better than the stations in Tanzania.
 
Kama ya umeme sio issue, mbona nyinyi hamna?
 
SGR ya Kenya ni kama mtu aliyevaa koti jipya ila ndani kuna uvundo,mbu,inzi,kunguni,viroboto,chawa,tandu what else............hata nyoka inawezekana wanapatikana ndani ya hilo koti.Wanajikaza tu ila ipo siku watalivua... na sisi ndo tutawafanya walivue.
 
Inategemea mzigo una kwenda Congo gani kama ni kaskazini Mombasa ni karibu kwa kupitia Uganda kama hujui jiography ya Congo
 
Stesheni huwa inapendezeshwa na miundombinu iliyowekwa kwenye hyo stesheni, ss stesheni ya Dar ina miundombinu ya kisasa zaidi kuliko stesheni za nairobi na Mombasa na ndiyo maana inaonekana kali [emoji3][emoji3][emoji3]
Asante kw kukubali km hilo jengo halivutii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halivutii af at the same time unaiita mall, je kuna mall icyovutia? Au mall zenu huko ni utopolo [emoji3][emoji3]
Maskini[emoji23][emoji23]
Nje utopolo, ndani km mall[emoji23][emoji23]
Mturuki igweee kw kuwala tigo wabongo
 
Yah it's a Mall because it's so beautiful [emoji3][emoji3]
Labda byutifuri kweli nalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, kumbe sile kelele zote mtajengewa concrete halafu waezeke vioo kw juu..
Ndani finishing iwe ya mall[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…