Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wako polepole hata mimi nilidhani JPM atawakemea alipofanya ziara ya ukaguzi!

Huenda shida ipo upande wa serikali. Extension ya mkataba wao ilitakiwa wamalize Oktoba 2020 ila sioni kazi ikiisha mwaka huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 'mwakani' yenye tuliimbiwa December 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…