Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Alright 2022 is not far, BTW if the electrification of SGR Mombasa-Nairobi is to be ready by 2022 then construction should be ongoing by now!Ripoti y ya wizara ya nishati kuhusu mahitaji yanayokadiriwa (projected demand ) ya umeme hapo mbeleni imetupatia fununu kuhusu miradi miengine mikubwa mikubwa ndani ya Kenya na ni lini inafaa kuanza..
Kwa mfano electrified SGR kufika hadi Malaba inatarajiwa kukamilika 2026 na total load itakua 189MW
Electrified SGR kutoka Lamu kuja Nairobi na Kwenda Ethiopia inatarajiwa 2035.
Oil pipeline kwenda Lamu inatarajiwa 2025
Konza Tecno city itakua inatumia 2MW by 2024 lakini by 2034 to 2036 inatarajiwa kuhitaji kati ya 190MW to 200MW
Ripoti y ya wizara ya nishati kuhusu mahitaji yanayokadiriwa (projected demand ) ya umeme hapo mbeleni imetupatia fununu kuhusu miradi miengine mikubwa mikubwa ndani ya Kenya na ni lini inafaa kuanza..

Malizeni SGR yenu mwanzo ndo uje tujadili kuhusu timelines za project za nchi jirani kufwatiliwa!Alright 2022 is not far, BTW if the electrification of SGR Mombasa-Nairobi is to be ready by 2022 then construction should be ongoing by now!
Ripoti y ya wizara ya nishati kuhusu mahitaji yanayokadiriwa (projected demand ) ya umeme hapo mbeleni imetupatia fununu kuhusu miradi miengine mikubwa mikubwa ndani ya Kenya na ni lini inafaa kuanza..
Kwa mfano electrified SGR kufika hadi Malaba inatarajiwa kukamilika 2026 na total load itakua 189MW
Electrified SGR kutoka Lamu kuja Nairobi na Kwenda Ethiopia inatarajiwa 2035.
Oil pipeline kwenda Lamu inatarajiwa 2025
Konza Tecno city itakua inatumia 2MW by 2024 lakini by 2034 to 2036 inatarajiwa kuhitaji kati ya 190MW to 200MW
Amini nakwambia hakuna electrification mtafanya kwa miaka ya karibuni may be 2050, uchumi wenu ni mbovu sana kwa ss, na hili ni pigo kuu la kiuchumi kuwahi kutokea kenya km unabisha tusubiri tuone, numbers don't lie.Ripoti y ya wizara ya nishati kuhusu mahitaji yanayokadiriwa (projected demand ) ya umeme hapo mbeleni imetupatia fununu kuhusu miradi miengine mikubwa mikubwa ndani ya Kenya na ni lini inafaa kuanza..
Kwa mfano electrified SGR kufika hadi Malaba inatarajiwa kukamilika 2026 na total load itakua 189MW
Electrified SGR kutoka Lamu kuja Nairobi na Kwenda Ethiopia inatarajiwa 2035.
Oil pipeline kwenda Lamu inatarajiwa 2025
Konza Tecno city itakua inatumia 2MW by 2024 lakini by 2034 to 2036 inatarajiwa kuhitaji kati ya 190MW to 200MW
Ni vizuri umesema Kinyerezi 1 extension mnaijenga sepecially for SGR..... Thus proving the point kwamba kulikua hakuna umeme wa kutosha for your SGR hadi inabidi mgaramike kuogneza power plant mpya ambayo mlikua hamna hapo awali specifically for SGR operation.kama total load of electrification for Mombasa-Malaba line ni 189MW, nin kiliwafanya mseme hatuna umeme wa kutosha wa kurun SGR yetu while Kinyerezi 1 extension tu ‘special for SGR’ ina almost hio 189MW
Mmekua mkiimba huu wimbo tangu 1989, mtangojea sana kuona Kenya ikiangukaAmini nakwambia hakuna electrification mtafanya kwa miaka ya karibuni may be 2050, uchumi wenu ni mbovu sana kwa ss, na hili ni pigo kuu la kiuchumi kuwahi kutokea kenya km unabisha tusubiri tuone, numbers don't lie.
Now things are getting serious na ukweli mnaujua kwmb hamna uwezo wa kujenga reli ya umeme, je hilo nalo unabisha mzee? Unaleta habari za 1998 wkt mm naongelea hbr za 2020 ambapo Tz ni MIC, reli ya umeme EAC ipo tu Tz, bwawa kubwa la umeme EAC lipo Tz, naongelea 2020 ambapo Tz inaongoza kwa pato la utalii EA, Tz inaongoza kwa mauzo ya madini ss, Tz ambayo nowadays inauza ynyw mazao yake bila wakala, we baki na historia [emoji3][emoji3]Mmekua mkiimba huu wimbo tangu 1998, mtangojea sana kuona Kenya ikianguka
Wanadhani rail way electrification ni rahisi km kununua second hands [emoji3][emoji3]Alisikika mlevi mmoja akisema kuwa wata electrify sgr....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa ni uzima tu tupo hapa tunaendelea kuusoma mchezo.....
Nioneshe hyo $100b iko wapi [emoji3][emoji3]Numbers don't lie $100b > $60b
Ni vizuri umesema Kinyerezi 1 extension mnaijenga sepecially for SGR..... Thus proving the point kwamba kulikua hakuna umeme wa kutosha for your SGR hadi inabidi mgaramike kuogneza power plant mpya ambayo mlikua hamna hapo awali specifically for SGR operation.
Natumai utakubaliana nami kwamba bila hio Kinyerezi 1 extension mngeuma nje, kawaulize wa ethiopia vile SGR yao umeme hukatika licha ya wao kua na umeme mwingi wa kutosha hadi hua wanauzia Kenya zaidi ya 200MW..
...... The entire railway transportation system has not been immune from a wide-area electric power blackout contributing to a series of disruption on its operations between the Addis-Djibouti rail networks.
The study Gedion and his team have conducted indicates that: “For instance, by the end of October 2019, the number of power cuts that occurred on train operation have reached to 6,742, and the overhead line reaching to 1,736.”
The frequent power cuts not only has affected the efficiency of the railway transport, but has also led to anomalous operations including rescue, slope stopping, regression, and a very serious impact on train operation safety. Some 60 percent of interruptions took close to three hours before the train’s returned to normal operations. But in some instances, three percent of the total events have caused more than a day long outages. The total interruption time was found out to be exceeding 48,000 hours since the start of railway operations across the corridor........
Read more: Power disruptions hobble Ethiopia’s railway lines | The Reporter Ethiopia English
Hata kama haikuwa specifically for sgr, waliamua watajenga power plant mpya ambayo kutakua na dedicated transmission line specifically or SGR, hii iko hata kwa ESIA report ya SGR yenu kwamba watategemea umeme kutoka new power plant ya Kinyerezi!!!acha upumbavu! extension ya kinyerezi 1 ipo planned na imeanza kujengwa kbla ya SGR na wala haikuwa specifically for SGR!