Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Lazima wakimbie kudadadeki hopefully nayo ni sgr.
 
Niliona kwenye manifesto km wameongelea sgr ya kusini ngj nicheki tena.
Wakati mwingine uwe unabisha vitu reasonable emotions wkati wote hazisaidii kaka! Hii maneno si ligi! Nikuulize swali, what is the purpose of building Mtwara-Songea-Mbambabay railway? If it is to offer cargo transport to hinterlands (including SADC countries of Malawi, Zambia and DRC) to n from Mtwara port je, tukijenga SGR (1.435 m wide) track then what next? Ina maana hii reli itaishia Bamba bay na locomotives hazitaweza kwenda Malawi kwa wagon ferries na kutumia reli yao kwenda Lilongwe na miji yao yote yenye kupitiwa na reli! Itatubidi kuanza kubadili containers na kuingiza kwenye CGR wagons cars!

Kama hivyo je kuna umuhimu wa kuingia gharama kujenga reli isiyo na seemless operations na neighboring countries (our markets)? je how will Mtwara-Songea-Mbambabya compete with Nacala corridor railway? Au mnataka twende Kenya's path kujenga the railway to nowhere iishie Naivasha badala ya Kampala na matokeo yake kuanza kubadili cargo kwenda MGR? Can one tell me if that was the envisaged objective by Kenya ya kujenga SGR ?





Ripoti ya 2020/2021 haisemi kama reli itakuwa SGR na sidhani any smart anaweza kufanya ujinga huo! Nina uhakika reli ya Mtwara-Songea-Bambabay itakuwa electrical CGR (1.067m) kwa vile ipi under Mtwara Development Corridor ambayo ipo chini ya SADC ikiwa-sponsored under NEPAD initiative na itakuja kuungana na TAZARA na hata Nacala MGR!







CC: joto la jiwe what's ur opinion on Mtwara-Songea-Mbambabay railway? Will it be SGR or CPR?
 
Kwn mm nmebisha mkuu nimesema kwamba kwenye manifesto niliona km waliongelea sgr ya kusini but ckuwa na uhakika na ndiyo natafuta muda baadae nirudie kusoma taratibu, mbn tuko pamoja kabisa mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwn mm nmebisha mkuu nimesema kwamba kwenye manifesto niliona km waliongelea sgr ya kusini but ckuwa na uhakika na ndiyo natafuta muda baadae nirudie kusoma taratibu, mbn tuko pamoja kabisa mzee [emoji3][emoji3][emoji3]

SGR tutakula pumba yaani tutapata tembo mweupe! Ile reli dhumuni lake kuhudumia Malawi, Zambia na DRC! Na hizi nchi zote zina Cape Gauge Railway! Hai-make sense kujenga SGR! Kumbuka hata CGR na MGR zinaweza kuwa electrified pia! na kuna locomotives ambazo ni dual yaani zinaweza kutumia umeme na diesel!

Unamkumbuka huyu?


Vectron Dual Mode locomotive will be introduced in 2020​

Published on 18-11-2019 at 17:23
In eight months after assembling a prototype of Vectron Dual Mode locomotive, the first customer purchased the new vehicles. German company Railsystems RP ordered two units of this type. Both locomotives will be delivered and entered service by the end of 2020.

The Vectron Dual Mode locomotive is a unique type of rolling stock. It can be powered by diesel engine and electricity from overhead wires. The new vehicle allows the operators to be more flexible by reducing their fuel costs on the electrified routes and maintenance costs on the non-electrified lines. According to CEO of Siemens Mobility Sabrina Soussan, this ‘locomotive combines the best of two worlds’. In spite of energy source (diesel fuel or electricity), the vehicle has a traction power of 2,000 kilowatts and a starting tractive effort of 300 kilonewtons. The locomotive is able to speed up to 160 kilometres per hour.
Text continues below the picture
Stadler Eurodual locomotive, source: Stadler Rail

Stadler’s competitor​

The Siemens-made dual-mode locomotive has a stronger competitor produced by Stadler Rail – the EURODUAL locomotives. They are more powerful than Vectron Dual Mode units and have a traction power of 2,800 kilowatts in diesel mode and 6,150 kilowatts by using the overhead electric wires.

This type is running in regular service for more than five years. Currently, the EURODUAL locomotives are used by the railway companies in the United Kingdom (Direct Rail Services), South Africa (PRASA) and Germany (Havelländische Eisenbahnen). This list was extended by the Turkish rail freight operator Körfez Ulaştırma. The latter ordered seven dual-mode locomotives of this type.

Vectron Dual Mode locomotive will be introduced in 2020
 
Stadler uyo mkuu.
 
New "gauge-changing bogies" innovation; a train that can operation on different width of a raitrack i.e. all types of gauge widths!









MY TAKE
For Godsake Mchina anataka kumuibia Mkenya tena, sasa ile mitungi ya chang'aa itakuwaje? Ni mwendo wa system design conversion au new locomotives!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…