Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unadhani miaka 50 ijayo na wao watakua na mawazo hayo hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitihada gani wamefanya? Huku kwetu tukijenga mnabeza. Punguzeni upinzani kwenye maendeleo ya nchi yenu.
Mkuu hakuna anayebeza ila ni ktk kuweka mambo sawa mwenzako anapofanya jambo jema unajifunza. Tuliyojenga ipi yenye Ubora huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna anayebeza ila ni ktk kuweka mambo sawa mwenzako anapofanya jambo jema unajifunza. Tuliyojenga ipi yenye Ubora huo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mradi wetu wa SGR ya umeme umeanza na sasa awamu ya kwanza, Dar-Moro inaendelea. Mnataka miujiza gani?
 
tunataka mapicha ya mradi sio sinema za bongo😀

Siku si nyingi utaanza kupata picha. Mradi wetu ni 'design and building' kwa hiyo hatua za awali zilikuwa ni kufanya 'detailed design'.
 
Siku si nyingi utaanza kupata picha. Mradi wetu ni 'design and building' kwa hiyo hatua za awali zilikuwa ni kufanya 'detailed design'.
Tunajua picha zitakuja ujenzi ukianza, lakini mngeounguza kidomo domo kingi mpaka muanze ujenzi wa reli yenyewe alafu ndo muonge mtakavyo, kwa mfano angalia hii mada, imefika ukurasa 43 hakuna hata picha moja inaonyesha reli ya Tz! Ni mdomo tu, tulieni kwanza, meongelea sana hii reli yenu mpaka picha zikianza kuja ntakua hamna la kuongea itabidi muanze kujiregelea...



Alafu kila mradi wa aiana hii uko na feasibility study, Environmental assessment, na design, hata phase 2 yetu iko na artistic impression tayari




 
When approaching JKIA runway Nairobi....


SGR Nairobi station on the left and maintenance yard on the right

 
lYou now the designer, consultant etc.

Designer : COWI & SENER
Consultant: KORAIL JV KOREA RAIL ROAD
Completion date:07/11/2019

HAPA KAZI TU








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…