Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Gripen is the cheapest 4th generation fighter plane with Swing roles capabilities..others are Euro fighter typhoon €90mil and Dassalut raffle €75mil..
For $30mil Gripen is the best ..
Maintanance costs za Gripen ziko juu sana, wee acha tu.
 
Uhuru anatumia fokker kama hii!


Kama zinazotumiwa na baraza letu la mawaziri



Fokker ni ndege inayoheshimika. Sijui ni kwa nini unaidharau? So what kama Waziri wenu wanaitumia? Hilo halina maana kuwa Fokker ni ndege lenye hadhi hafifu kwa sababu mawaziri wenu wanaitumia. Mbona unaidharau Fokker?
 
Fokker ni ndege inayoheshimika. Sijui ni kwa nini unaidharau? So what kama Waziri wenu wanaitumia? Hilo halina maana kuwa Fokker ni ndege lenye hadhi hafifu kwa sababu mawaziri wenu wanaitumia. Mbona unaidharau Fokker?
unajua kampuni ya Fokker imekufa haipo? nilikuwa najibu bwege mmoja aliyeanza wivu! Nilikuwa najaribu kumuonyesha jinsi mlivyo nyuma kwa kutumia ndege za zamani!
 
Nchi yenye hata raddar hamkuwa nayo, mlikuwa mnategemea sisi tuwalindie anga yenu halafu unakuja hapa kujisifu kuhusu Chengdu J-7G? Unajua fighter jet ni useless kama hamna raddar ya kuwajulisha ikiwa ndege ya adui imeingia ndani ya airspace yenu. Yaani mlikuwa mnategemea adui akiingia kwenye airspace yenu Kenya ije iwajulishe kuwa adui ameingia. Yaani upuuzi mtupu. Yaani mlikuwa completely blind kwa kinachofanyika kwenye airspace yenu kwa miaka zaidi ya hamsini since independence. Yaani mumefunga raddar juzi tu. Hii ni aibu kwa Waafrika wote. Hata ni bahati hakuna nchi yoyoye iliyoamua kuingia kwenye airspace yenu na kufanya mashambulizi
 
Kwa radar za kijeshi hamtufikii! tulikuwa tunawategemea kwa civilian radars! Mind u "tulikuwa" is a past tense for now! try not be desperate!
 

Tulikuwa tunawalipa, sasa tungeingiliwa bila nyie walinzi wetu tunaowalipa kutuambia mngeipata fresh.
 
Maintanance costs za Gripen ziko juu sana, wee acha tu.
Compared to Dassult rafale na Eurofighter bora grippen..sijajua compared na Sukhoi au MIG..but i think MiGs 35 and Su 35 but are more superior ..
Mig 35 is around 60$mil
Su35 - is around 80$mil

My conclusion..we should go for Su-30MKM or Grippen both price range from $30mil to 50$mil
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea pumba sana,,,,masuala yakiusalama kwa upande wa uvamizi ama kuvamiwa kwa nchi hizo ni shughuli za kijeshi na huwa zinajitegemea ni very secret tofauti na urahisi unaouchukulia......
mngejaribu kuvamia halafu mngeisoma namba na ungekuja na majibu...

unalinganisha mchanga na maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama masuala yenu ya kiusalama yana tegemea hizo radar mlizoIpachika kwenye airports pekee poleni sana aisee mtakuwa ni wapuuzi sana
 
Jua kutofautisha civilian radar na military radar tulikuwa na civilian radar moja ila za jeshi ...usiguse...na kwa sasa iyo ni past tense
 
Maintenance cost ya jets za Urusi huwa chini. Nadhani hio munaweza kuimudu. Sukhoi na MiG. Hata Grippen nadhani munaweza kuimudu.
 
wakati mwingine msisababishe watu kufungua mafaili yenu mna midege mingi mibovu na mikuukuu! kuanzia KDF kuja Police kuja ndege za Rais!
Hio inaonyesha kwamba Kenya tuna uwezo wa kuservice na kumaintain ndege kwa miaka mingi. Halafu Airforce ya Kenya ina helicopters zaidi ya 30 na karibu zote zimenunuliwa since 2011. Kwanza tuna MD-500 nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…