Hata nafikiri Kenya Police wana helicopter nyingi kuliko the entire TPDF!Hio inaonyesha kwamba Kenya tuna uwezo wa kuservice na kumaintain ndege kwa miaka mingi. Halafu Airforce ya Kenya ina helicopters zaidi ya 30 na karibu zote zimenunuliwa since 2011. Kwanza tuna MD-500 nyingi sana.
Of course mitumba usitake niweke evidence zinavyodondoka na kuua!Hio inaonyesha kwamba Kenya tuna uwezo wa kuservice na kumaintain ndege kwa miaka mingi. Halafu Airforce ya Kenya ina helicopters zaidi ya 30 na karibu zote zimenunuliwa since 2011. Kwanza tuna MD-500 nyingi sana.
TPDF doesn't even come close to KDF interms of aircraft! size yenu ni Rwanda nyinyi.wakati mwingine msisababishe watu kufungua mafaili yenu mna midege mingi mibovu na mikuukuu! kuanzia KDF kuja Police kuja ndege za Rais!
Out of those 34 aircraft, helicopters are only fourGlobal-Firepower is not the most accurate/up-to-date but atleast hua wanapeana a rough estimate of a country's equipment and TPDF doesn't even come close to KDF interms of aircraft! size yenu ni Rwanda nyinyi.
KENYA - KDF has a total of 150 Aircraft including 79 helicopters
View attachment 1633050
While TPDF has a total of only 34 active military planes
View attachment 1633052
This is not even a competition, this is total dominance!
Hata Uganda wamewashinda!
View attachment 1633053
mitumba sio?TPDF doesn't even come close to KDF interms of aircraft! size yenu ni Rwanda nyinyi.
KENYA - KDF has a total of 150 Aircraft including 79 helicopters
View attachment 1633056
While TPDF has a total of only 34 active military planes
View attachment 1633058
This is not even a competition, this is total dominance!
Source: World Airforces 2020 https://www.flightglobal.com/reports/world-air-forces-2020/135665.article
You dont retire your aircrafts?TPDF doesn't even come close to KDF interms of aircraft! size yenu ni Rwanda nyinyi.
KENYA - KDF has a total of 150 Aircraft including 79 helicopters
View attachment 1633056
While TPDF has a total of only 34 active military planes
View attachment 1633058
This is not even a competition, this is total dominance!
Source: World Airforces 2020 https://www.flightglobal.com/reports/world-air-forces-2020/135665.article
You can only dream of reaching our levels of maintenance !mitumba sio?
There are plenty of retired aircrafts in Kenya... After they served to their full life-span or they crashed. We have never retired aircraft because it was not airworthy due to lack of maintenance.You dont retire your aircrafts?
BTW, Unajua hio Fokker ya Uhuru inakua maintained na technitiancs wanawake!Uhuru anatumia fokker kama hii!
Kama zinazotumiwa na baraza letu la mawaziri
endeleeni kujidanganya na hivyp vitakwimu uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TPDF doesn't even come close to KDF interms of aircraft! size yenu ni Rwanda nyinyi.
KENYA - KDF has a total of 150 Aircraft including 79 helicopters
View attachment 1633056
While TPDF has a total of only 34 active military planes
View attachment 1633058
This is not even a competition, this is total dominance!
Source: World Airforces 2020 https://www.flightglobal.com/reports/world-air-forces-2020/135665.article
Ss na cc tukiamua kujumlisha na vindege vilivyopigana Vita ya Idd Amini c itakuwa noma, mana watu wamejumlisha mpk F5 nimecheka sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]endeleeni kujidanganya na hivyp vitakwimu uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha kuzika kichwa ndani ya mchanga, huu ndo ukweli wa mambo brazaendeleeni kujidanganya na hivyp vitakwimu uchwara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha jamaa unajaribu kujiliwaza, Uganda pia walipigana hivyo vita na kumbuka hao ndo walishindwa, Uganda walipoteza four Mig-21s, wakati nyinyi mlipoteza moja mlipoipiga kombora wenyewe baada ya kufikiria ilikua ndege ya Uganda (Hii inaonyesha mlikua hamra radar coverage )lakini sahii Uganda wako na ndege nyingi kuwaliko nyinyi mlioshinda vita hivyo 😂😂😂 yani kwa kifupi, you are a disgrace to your former self.Ss na cc tukiamua kujumlisha na vindege vilivyopigana Vita ya Idd Amini c itakuwa noma, mana watu wamejumlisha mpk F5 nimecheka sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wawe wanaume ata watoto the fact is fokker ni ndege outdated!BTW, Unajua hio Fokker ya Uhuru inakua maintained na technitiancs wanawake!
Watch from 3:28
Alafu ucheki hii nayo ya Kenya Police
Actually I'm not surprised that Tanzania only have 34 military aircrafts because they are among the poorest 25 countries in the worldwawe wanaume ata watoto the fact is fokker ni ndege outdated!
Natamani japo siombei iwe hivyo, mjichanganye siku moja kwa Tanzania taifa kubwa alafu mtajua kwmb cc ni kina nani linapokuja suala la jeshi imara, ivyo vindege visikudanganye hata kdg, tz mambo yake mengi yako hidden sn huwezi kujua kirahisi.Hahaha jamaa unajaribu kujiliwaza, Uganda pia walipigana hivyo vita na kumbuka hao ndo walishindwa, Uganda walipoteza four Mig-21s, wakati nyinyi mlipoteza moja mlipoipiga kombora wenyewe baada ya kufikiria ilikua ndege ya Uganda (Hii inaonyesha mlikua hamra radar coverage )lakini sahii Uganda wako na ndege nyingi kuwaliko nyinyi mlioshinda vita hivyo [emoji23][emoji23][emoji23] yani kwa kifupi, you are a disgrace to your former self.
If your today-self went to war with your former-self, the former would win easily!
Omba mechi na tz af ndo utajua hujui, kdf inashindwa kumtuliza mtoto mdogo Al shabaab ndo mnataka kujilinganisha na taifa kubwa? Mngelikuwa na adabu tungelikuja kuwasaidia kuwatuliza hao watoto wanaowasumbua kila kukicha lkn mnajifanya mnajua kaka yenu tunawaacha tu, kule msumbiji walianza kuleta choko choko wanaume wameenda now hutasikia choko choko tena.Wacha kuzika kichwa ndani ya mchanga, huu ndo ukweli wa mambo braza
Hebu tufanye test kidogo, Hapa unaona helicopter ngapi?
HApo ni Helicopter 6 zilizowasili Kenya Januari mwaka huu... Kuna zengine sita ziko kwa future order
View attachment 1633122
WASHINGTON, May 2, 2017 - The State Department has made a determination approving a possible Foreign Military Sale to Kenya for MD 530 aircraft. The estimated cost is $253 million. The Defense Security Cooperation Agency delivered the required certification notifying Congress of this possible sale.
The Government of Kenya has requested a possible sale of twelve (12) MD 530F weaponized aircraft to include twenty-four (24) Heavy Machine Gun Pod (HMP) 400 systems; wenty-four (24) M260 rocket launchers; four thousand and thirty-two (4,032) M151 rockets; one thousand five hundred and thirty-six (1,536) 2.75-inch M274 smoke signature warhead rockets; and four hundred thousand (400,000) rounds of .50 caliber ammunition. Also included are communications and navigation equipment, contractor logistics support, training, U.S. Government technical assistance, airframe and weapon system spare parts support, Contractor Field Service Representative (CFSR) support, and Special Assigned Airlift Mission (SAAM) flight delivery support. The total estimated cost is $253 million.
This proposed sale contributes to the foreign policy and national security of the United States by improving the security of a strong regional partner who is a regional security leader, undertaking critical operations against al-Shabaab, and a troop contributor to the African Union Mission in Somalia (AMISOM).
-------------------------------------------------------------------------------------
JE hapa unahesabu ngapi???
View attachment 1633130
Kenya Defense Forces Take’s Delivery of Bell UH-1H Huey II Multi-Role Helicopters from United States
KDF-Kenya Air Force, the largest and arguably the most professional air arm in East Africa, will take delivery of 6 Bell UH-1Hintelligencebriefs.com
Hizo ni Helicopter 6 zengine za Huey II, kuna zengine mbili ziliongezwa baadae zikawa nane...
--------------------------------------------------------------
Hapa Nnapo pana helicopter nane 8 zengine za Fenec light attack and reconnaissance aircraft
KDF Acquires 8 Fennec Light Combat Helicopters from United Arab Emirates-UAE
Kenya Defense Forces (KDF) has acquired eight (8) light Combat helicopters from United Arab Emirates-UAE. The single-engine helicopter is alsointelligencebriefs.com
View attachment 1633135
View attachment 1633134
Hizi pekee ni Helicopter tumepokea kati ya 2018-2020.
6 + 8 + 6 = 20
Hizo ni helicopter ishirini tumepokea ndani ya miaka mitatu! Amka wacha kulala, wewe ndo wajidanganya na kuamini eti Tz inaweza kushindana na Kenya kwa mambo kama haya! Kwenye sector ya aviation in general, Kenya iko mbali sana ukilinganisha na Tanzania.
tuendelee kuwachora tu...wanavituko sanaSs na cc tukiamua kujumlisha na vindege vilivyopigana Vita ya Idd Amini c itakuwa noma, mana watu wamejumlisha mpk F5 nimecheka sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]