Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ka African..uwezo wa kununua ndege na helicopter za kivita upo...kama tumetumia zaidi ya $300mil kununua q400s 5 ndani ya miaka mitano $500mil kununua dreamliner mbili na $200mil kununua A220s mbili..hivi vi sukhoi S30 vya dola $30mil unahisi vinatushinda...

Tukiamua kuweka budget ya dola $300mil in 5yrs tutakuwa na Su-8mpka 10 ambayo ni upgrade ya kutosha. sana na tutapita nchi nying tu..lakini sio priority ya sasa cause ndege za kivita zinahitaji maintance na pia ni liabilities sio asset kama passenger planes au other business

Tuna project nying ambazo goverment ime inject hela yake kama SGR,Stiglers, Kujenga Zonal hospitals na ku imrpove transport in Big cities
 
Unapewa evidence halafu unaiita takwimu uchwara? Nyie Wabongo huwa mnaudhi sana. Unapewa evidence halafu unaanza kukejeli evidence. Kama huna kitu cha kusema si unyamaze tu. Takwimu uchwara ndio gani? Saa zingine kudebate na nyinyi ni kupoteza muda tu.
 
Historia sio muhimu. Jambo la muhimu ni leo hii mumejihami kivipi? Armenia alishinda Azerbaijan 1990s lakini 2020 Azerbaijan ametumia drones kumshinda Armenia. Kwa hivyo historia ni ujinga mtupu. Cha muhimu ni leo hii mumejihami kivipi. Uganda leo hii wanaweza kuwapiga kama watoto wadogo.
 
kama historia sio muhimu mngekua na free fiza to south Africa
 
[emoji1787][emoji1787] tatizo mnaongea vitu msivyovijua ,evidence gani ya maana aliyoitoa,yeye mwanajeshi wa kenya au yeye ni mwanajeshi wa Tanzania..?..maana unakuja na utoto anakuambia eti jeshi halina usiri we huoni kama huyo mwenzako ni kichaa,
kama jeshi halina usiri kama kwamba anajua kila kitu kuhusu majeshi na ana evidence ajibu haya maswali madogo tu na siyo kuropoka ropoka asivyojua link hata mimi naweza kuandaa

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


1.Je alishawahi kutembelea military base zilizopo kenya au tanzania na kuhesabu idadi ya vyombo au vifaa vyote vya kivita. vilivyopo..?.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo kwenyewe kwenye kauli yako uliyoiabdika ushaitumia historia ,,unadhihirisha kuwa unaujinga wa hali ya juu,ungesoma vizuri nilichokiandika

sasa kama historia haina umuhimu kwanini umeanza kwa kutaja kuwa 1990s armenia iliishinda alzerbaijan...!
kwanini usingeenda directly kwa kusema kuwa 2020 alzerbaijan iliishinda armenia...?

wacha ujinga
 
kama historia sio muhimu mngekua na free fiza to south Africa
yaani huyu jamaa sikutegemea kabisa kama angeongea utumbo eti historia haina umuhimu wakati maisha yake yote anaishi kihistoria na maisha siku zote ni history hajielewi hata akisemacho
 
Nimetaja kuwa 1990s Armenia iliishinda Azerbaijan ili kukuonyesha kuwa historia sio muhimu. Nyie mliishinda Uganda miaka za 1980s lakini sasa hivi Uganda wanaweza kuwapiga vita kama watoto
 
Nimetaja kuwa 1990s Armenia iliishinda Azerbaijan ili kukuonyesha kuwa historia sio muhimu. Nyie mliishinda Uganda miaka za 1980s lakini sasa hivi Uganda wanaweza kuwapiga vita kama watoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaushahidi gani kuwa uganda inauwezo wa kutupiga...?...
halafu unaniangusha sana unaongea vitu vya kufikirika ,,,
kwanza ulisema historia haina umuhimu hiyo miaka uliyoconpare between 1990s na 2000s inamaanisha nini...?...

na what's a history..?

unasema historia haina umuhimu wakati unaitumia hiyo hiyo historia kutolea mifano..
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaujinga mwingi
 
Hawa jamaa huwa hawajielewi
 
Watanzania mnaishi kwa historia. Bado mnajiona kama wakomozi wa South Africa wakati SA inawadharau....
Uganda ile nchi mlio ishinda leo hii mkaenda nao one on one watawachapa vibaya sana... You still living in the past!
Hii East Africa yote hakuna nchi inayoweza kuishinda Tanzania kwny medani ya vita,tuko na advantages nyingi sana kabla hata ya kuinua bunduki,Vita si vifaa tu vita ina uwanja mpana sana.Nilishawaambia Wakenya mnaweza kuwa na silaha nzito mwisho wa siku zikawa toys tu.Uzoefu wetu wa kivita that spirit, hiv nyie mshapigana vita yoyote baina ya nchi na nchi, Watanzania ni rahisi sana kuwaorganize kuliko taifa lolote hapa Afrika mashariki,Vita si wanajeshi tu jamii inahusika kwa kiasi kikubwa sana, Damu,chakula...nk, Geographical position inatubeba,idadi ya watu, pyramid ilivyokaa.....
 
Vita vya enzi hizo za kutumia tactics za WWII vilipitwa na wakati, Kufika Tanzania hakuna mtu atakuja kwa miguu ifact jambo la kwanza ni Dar ndo itavamiwa ya kwanza pamoja na makao makuu ya Tanzania Airforce na pale mnapoweka hanger za ndege za kivita na mafuta.

Anyway, Vita vya conventional sio lazima mkue totally defeated, Vita vya nchi kwa nchi unaweza kushinda kwa technicallity... Kwa mfano ule wakati ule kabla Uganda ivamie Tanzania. Kumbuka walitishia na walijaribu kuvamia Kenya mwanzo. Kenya ikaamua ku block mafuta na bidhaa za Uganda zinazo ingia Mombasa port kwa miezi kadhaa, Uganda ikaona ikienda vitani na Kenya watashindwa baada ya mda mchache manake watakua hawana mafuta wala supply ya maana ya kuendeleza vita... Kwahivyo tulikua tushawapiga tecnicall knockout.

Kuna nchi zengine hata zili surrender bila hata jeshi kuingia ndani, Jamaa walitumia hackers wakaharibu mitambo ya Radar,communication, power plants, banking na financial system... Jamaa walipoona nchi inaambaratika kifedha wakaamua hawataenda vitani tena..... Hivi ndo vita vya kisasa, usitaraajie eti jambo la kwanza litakalo fanywa na nchi mnayopigana nayo ni kuingia kwa mpaka wenu eti tupigane hadi kufika makao makuu yenu... Hilola kuingia na vifaru kupitia mpaka itakua ni jambo la mwisho kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…