Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nani mdogo wa mwingine? Nyie ndio wadogo wetu.
 
Yes, wewe leta idadi ya Regestered Engineers na sisi tukuwekee, tena tumewapita kwa mbali sana
Wakenya wengi wamebobea kwenye masomo ya Arts (hususani Ualimu) na kidogo business lkn science ni kidogo sn, so hawawezi kuwa juu yetu kwenye number of engineers ila akileta ushahidi naomba uni tag [emoji3][emoji3][emoji205][emoji205]
 
Kafrican amekujibu kwa evidence halafu umeanza tabia ya kihuni ya kuhamisha goal- post. Ndio maana huwa siargue na Watanzania wazimu kama wewe.
kwa evidence gani alizotoa ,,za link ?...nawe unaanza kuchanganyikiwa,,,,

ni ivi ishu za kijeshi wenye evidence ni wahusika na siyo jitu binafsi ambalo hata halijui principle za jeshi wala maana ya jeshi,,,,,

ndiyo maana nikamuuliza amewahi kutembelea hizo kambi na akahesabu na kujihakikishia kuwa hivyo vifaa vya kijeshi vipo kweli kiidadi,anakuja analeta link ambazo hata wewe au mimi naweza kuanda site yangu,,,,,

muache ujinga ishu za kiintergensia hatuwezani zaidi ya kutaka kujifurahisha,jeshi siyo duka la nguo analomiliki mtu binafsi kusema kwamba unajua stock ya mzigo wako,,,,,,
mtoto uliyemzaa kwa damu tu tabia yake tu mtu humjui kiundani sembuse jeshi ,,,,,,,tena la nchi ambayo huijui,,,,,acheni ujinga
 
Nani mdogo wa mwingine? Nyie ndio wadogo wetu.
Kwani Jamuhuri ya Watu wa Kenya imepata uhuru lini kaka 😃 mkiendelea hivi tutaanza na kuwakwea makonzi kbs,Heshima ya kaka na mdogo iko wapi sasa🤷🏾‍♂️
 
This is what is called " Jealous"
Your approach to basic issues is typical of a very narrow and small mind.
what has jealousy to do with anything? Its physics 101. Your ride is safer and more comfortable if the road is smooth. the same goes for rail, so does calm waters for ships and clear skies for planes.
 
View attachment 1637419
Am no expert but basic physics gets me worried, This warping is not good!
kwani wewe ni mjinga kiasi gani kutojua there is still levelling work to be carried out aside alignment, compaction and another level of gravel on top before joints welding?

see how a near completion railway track before joints are being welded looks! 👇

 
Acha kujisumbua na huyo aliacha shule class six. The guy hata hajui kuconvert currencies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…