Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Merry Christmas to you all in this forum. Big up kwenu Wabongo mnaoipenda nchi yenu. Big up kwenu majirani zetu hapo juu. Kuelekea mwaka mpya tunawakumbusha kuanza kufungasha kila kilicho chenu. Twenty twenty five siyo mbali sana tutakapokuwa tumewapiga gap kiuchumi. Anzeni mapema mazoezi ya kukaa back bencher.
 
Hahahahaaa hii msg i copy uiweke kule kwenye uzi wetu pendwa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii TAZARA yetu inaweza fanyiwa electrification?

Kinaweza kuwa electrified sema haitaleta tija sana kutumia hyo fedha kufanya electrification ya hicho kipande ikiwa kuna vipande ambavyo ni hot cake tunatafuta fedha kwa ajili ya kukamilisha ikiwemo Isaka kuelekea Rwanda, Isaka-Kigoma na vingine vingi hapo bado kile kipande cha kusini kwnda kuchukua chuma cha liganga mchuchuma kukipeleka bandari ya mtwara xo Serikali inatafuta pesa kwa udi na uvumba haiwezi enda kujitosa kwenye hyo reli ya Tazara ambyo ni already functioning.
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…