Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sasa iende PAX station for what? Zile container zinazotoka Mombasa huenda Nairobi Terminus sio? Wacha utaahira!
Sasa si uniambie zitapitia wapi, manake waturuki kw plan yao sijaona..
Mayb unambia mtapeana tender tena kw mtu mwngine ndio mbebe mizigo
 
Empty containers on the way back to Mombasa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zinapiga ruti kama mtoto wa kinda anapoanzishwa school kwa 1st time anapewa na kabeg kabisa lakini ndani ukifungua unakutana na vitu empty ,,,,,siku nzima watacheza kwenye bembea na kuimbishwa nyimbo...
 
Ugueni pole pole tu, kwanza kizere geza[emoji23][emoji23]
 
Yepi hawajatoa report ya mwezi Dec hadi leo
Wametetemeshwa na ujio wa mchina kwahiyo wanajiuliza mara mbili mbili tukitoa hii c tutaonekana bado tunacheza! Hebu tusubiri kdg, nahisi kwa ss hawalali usiku na mchana kazi mana wakilemaa tu mchina atawachoresha.

So ili waende sawa na mchina wafanye kazi pasipo kulala lasivyo mchina ataanza kumaliza kabla yao japo wao wameanza kitambo, wachina wachawi mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haha maana kutoka dar hadi pugu yani ndio bado kabisa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…