Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #9,701
msahine ipo Kurasini!Ndio nyinyi ni net exporter wa grains ila kumbuka bado mnaagiza wheat from Russia. Ni sharti mfunge hii mashine kwa sababu ya kupakua wheat from Russia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha ufala wenye usenge kama kawa !!
FYI ulichoonyesha kinaitwa gondola wagon!
Nionyeshe ni wapi mumeagiza wagons kama hizo. Haijalishi zinaitwa vipi. Nionyeshe ni wapi mumeziagiza halafu mjadala uishe.Wacha ufala wenye usenge kama kawa !!
FYI ulichoonyesha kinaitwa gondola wagon!
Ngumu kuamini bila evidence.msahine ipo Kurasini!
Ya kurasini inapakua direct to the train?msahine ipo Kurasini!
old na ina provisions za reli ya zamani yes!Ya kurasini inapakua direct to the train?
Sawaold na ina provisions za reli ya zamani yes!
Tumechoka kila lei kuwaletea hizo evidence. Tender document ilikuwa very clear kuhusu idadi ya kila aina ya equipment. Sasa tunawaacha mkae hivyo hivyo tu msubiri vyombo vifike bandari ya salama.Nionyeshe ni wapi mumeagiza wagons kama hizo. Haijalishi zinaitwa vipi. Nionyeshe ni wapi mumeziagiza halafu mjadala uishe.
Inaonyesha kuwa Phase 1 itaanza route za Dar to Kilosa...
Umeona specifications lakini? Since 2015 this Bakhresa grain handling facility is operational, Mo has his own too!!Wewe una wazimu kama unadhani kwamba unaweza kucompare grain handling facility inayopakua ndani ya truck na ile inayopakua ndani ya train. Nenda kapimwe ubongo wako utakuwa nati moja imepotea.
Hivi bado mnaamini mnajenga kwa pesa zenu? 🤣 🤣 🤣Tumechoka kila lei kuwaletea hizo evidence. Tender document ilikuwa very clear kuhusu idadi ya kila aina ya equipment. Sasa tunawaacha mkae hivyo hivyo tu msubiri vyombo vifike bandari ya salama.
By the way, your gvt cannot procure such equipment at the tune of TZS 138bn using "your own money". So just relax and get yourself ready for the music. We are just getting started.
Msifosi tufanane, Mungu ndiye aliyetubariki uwezo huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi bado mnaamini mnajenga kwa pesa zenu? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hatuwezi fanana boss, tangu lini GDP ya $101 billion ikafanana na $61 billion? 🤣Msifosi tufanane, Mungu ndiye aliyetubariki uwezo huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]