Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Start at 9:18

Ndani ya bandari kutakuwa na njia SABA za RELI
  • Reli ya SGR
  • Reli ya Metre-gauge
  • Reli ya Cape gauge (TAZARA)
cc: Geza Ulole The best 007 and Tony254 xng hua, Bantugbro
Watanzania wacheni hii tabia ya kujilinganisha na Kenya kila wakati. Kenya imewashinda kwa mbali sana.
Saa hii Kenya tuna-load cargo ex-hook. Yaani maana ya loading of cargo ex-hook ni kwamba tunapakua mizigo directly from meli hadi kwenye treni bila mizigo hiyo kuwekwa chini kwenye container terminal. Yaani ex-hook ina maana kwamba container hiyo haitakanyaga ardhi ya Kenya hadi itakapofika Nairobi kwa sababu meli ikiwasili Mombasa, container hiyo itapakuliwa straight onto the train bila container hiyo kugusa ardhi ya Mombasa.
Soma hapa maneno ya mkurugenzi mkuu wa Kenya Railway

“The recently introduced two double-deck trains, each conveying 152 TEUs per move, has continued to up the game on containerized cargo, enabling clearance on the old backlogs and maintaining desired loading of units ex hook, directly from discharging vessels,”Manga said

Fuata link hapa 👇


Halafu huyo jamaa kwenye video yako kasema kwamba container zenu zinapowasili bandarini yaani kwanza lazima zipakuliwe kwenye gati halafu terminal tractors zinatumika kuzisafirisha hadi kwenye container yard. Halafu ndio reach stackers zitatumika kuzipakia container kwenye treni. Yaani ni process ndefu sana. Hio ni kumaanisha reli yenu ipo mbali na bandari maana container lazima zisafirishwe hata kwa kutumia terminal tractors ili kufikia maeneo ambapo reli ipo. Kenya tunafanya ex-hook loading of containers, reli ya SGR imejengwa bandarini kwenyewe kwenye gati lenyewe. Kwa hivyo sisi hatuna haja ya kutumia terminal tractors kusafirisha mizigo from the berth to the container terminal kama nyinyi. Sisi reli yetu ipo karibu na meli so crane inainua container from the ship straight to the train bila kuiweka chini. Tazama picha jinsi SGR yetu ipo karibu sana na meli hata unaweza kuitazama meli yenye rangi ya samawati kwenye background na treni kwenye foreground ya picha, zote zipo katika picha moja.




SGR rail tracks zimejengwa katika gati ili kuwezesha treni zetu kuingia kwenye gati kubeba mizigo. Picha hii hapa chini ni ya 2017 wakati ujenzi wa SGR bado ulikuwa unaendelea. Unaona reli la SGR limetandazwa kwenye gati lenyewe? Sasa niletee picha kama hii ya Dar port.


Lakini huko kwenu treni haliwezi kuingia kwenye gati maana hamjajenga SGR rail tracks katika gati zenu inabidi mtumie terminal tractors kusafirisha containers zenu. Mpo very inefficient.
 
Ufala huachi kila siku! Mkurugenzi kaongelea line 7 za SGR bandarini! Ila kale kakitu kanakuchokonoa ! Kutoka dk 9.18 umeambiwa vitu kama key side of a berth!
 

Hizi containers hapa yuma zinafanya nn? Kama containershazikanyagi ardhi?
 
Hizi containers hapa yuma zinafanya nn? Kama containershazikanyagi ardhi?
Hii picha ni ya 2017 kabla ya ujenzi wa SGR kukamilika. Wakati huo bado tulikuwa tunastack containers kwenye gati kama nyinyi mnavyofanya na mtaendelea kufanya milele. Baada ya ujenzi kukamilika na double-stack trains kuanza kufanya kazi back-log hio iliondolewa.

Soma MD wa Kenya railways anavyosema, au humuamini?


“The recently introduced two double-deck trains, each conveying 152 TEUs per move, has continued to up the game on containerized cargo, enabling clearance on the old backlogs and maintaining desired loading of units ex hook, directly from discharging vessels,” Manga said





Hii ex-hook loading imeanza kufanyika miezi michache iliyopita.
 
Ufala huachi kila siku! Mkurugenzi kaongelea line 7 za SGR bandarini! Ila kale kakitu kanakuchokonoa ! Kutoka dk 9.18 umeambiwa vitu kama key side of a berth!
Nimemsikiliza vizuri sana. Anasema container zitashushwa kwenye key side kisha mtatumia terminal tractors 🚜🚜 kupeleka containers kwenye container yard kisha mtatumia reach stackers kuzipakia kwenye treni. Kumaanisha laini za reli zipo mbali na gati. Kama unapinga basi nionyeshe picha kama hii ya Dar port halafu mjadala uishe
 
Zile containers pale nyuma zimebebwa na mgngo? BTW what's a key side of a berth? If i may ask?

show me where is keyside?


 

Angalia vizuri utaona kichwa cha treni kikiingia na reli ya MGR at the berth! Tena both MGR na Cape Gauge Rail zinaingia bandarini! Kumbuka tunasafirisha copper for over 50 years! Wacha upuuzi uwe na aibu hata kidogo! Mnachofanya tunavyo since kipindi cha TAZARA!




Dar port: berth 5 done...

See the rails at the edge of the berth!



Source




Tujenge vitu kama hivi Mpanda tushindwe Dar port?



Wacha upuuzi mzee hii ni Kigoma port
 

Dar Es Salam – Morogoro Main Railway Line​

Preliminary design and construction design of:
1 cable-stayed railway bridge with 70m of main span and a total length of 154m.
3 concrete box railway bridges with 46m of main span and a total length of 106m

Dar Es Salam Port Railway Line​

Preliminary design and construction design of the railway line connecting the Main Railway Line with the Port of Dar Es Salam. It is a 4.1Km long railway line constructed in urban area. The alignment is mostly located in a cut and it is very restrained by surrounding buildings and roads. Our services include alignment design, earthworks design, drainage design, road works design, geotechnical works design, structural design of retaining walls and overpass bridges and traffic deviation phases.

Tanzania (2018 – ongoing)


























 

Morogoro – Dodoma – Makutupora Railway Project, Tanzania Central Corridor (336 Km). Tanzania​

Construction design of bridges, viaducts and buildings of the new railway line that connects Morogoro and Makutupura in Tanzania.​

Tanzania (2018 – ongoing).

The Project includes:

– 336 km of standard gauge electrified railway (1,435 m) including composite railway bridges, reinforced concrete structures, stations, freight terminals, maintenance workshop and depots and drainage and livestock crossings.
– Maximum bridge length: 592.2m.
– Gross area of major station: 15000m2
– Gross area of freigth yards:12000m2 each

BIM tools are used for the coordination and the development of the design of all technical disciplines (architecture, structures and MEP).


electrical SGR phase II: Bahi Station


electrical SGR phase II: Dodoma Station



 
Zile containers pale nyuma zimebebwa na mgngo? BTW what's a key side of a berth? If i may ask?

show me where is keyside?


Hio picha ni ya 2017 wacha kujitia hamnazo. Hizo containers sasa hivi hazipo.

Halafu swali lako la "key side". Mimi niliandika key side maana wewe ndio ulianza kuandika key side so nikakucopy ila hakuna kitu kama key side kwenye terminology za port. Tazama hapa wewe ndio ulianza kuandika key side sasa sikuwa nataka kukuchanganya nikaamua kutumia words zako mwenyewe.
Ufala huachi kila siku! Mkurugenzi kaongelea line 7 za SGR bandarini! Ila kale kakitu kanakuchokonoa ! Kutoka dk 9.18 umeambiwa vitu kama key side of a berth!

Waziri wenu aliposema key side alimaanisha Quay side ambayo ni sawa na gati au wharf. Quay inakuwa pronounced kama "ki"
 
At least u did a research to find out its Quayside and not keyside! Now where is Quayside?
 
Geza mimi sio engineer. Najua unataka kunitrap lakini sitakubali.
Tatizo lako unakuwa excited na achievement ndogo! Ni kitu cha kawaida containers kuwekwa quayside na nina uhakika containers zenye destination Mombasa city, Kwale na every other places at the coast hazipandi kwenye train! Pia ili ziwe sorted according to destinations mostly likely those containers that drop first in line with the proximity r usually connected at the back of the train!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…