Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tatizo la Wakenya madaraja huwa mnaita interchange, hebu weka picha ya hizo interchanges tucheke hapa, hiyo Nairobi yenyewe interchange yake inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuambia wana underpasses za kumwaga, ukiwaambia wakuletee picha watakuwekea ubabaishaji huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
An interchange in Kenyan standards [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interchange za Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1736214

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijifanye mjuaji wakati mambo haya nyie Watanzia hamuyaelewi. Mumeanza kujenga interchanges juzi.
Tazama picha za clover-leaf interchange nilizopata mitandaoni. Yaani wacha nikutoe ushamba leo. Halafu clover-leaf interchange inajengwa kila mahali hata nchi za ulaya.

Render inakaa hivi


Picha kwa ground inakaa hivi


Hii hapa chini ni clover-leaf interchange ya Germany

Kwa hivyo kama unadhani kuwa interchange zote zinafanana na ubungo interchange then umekosea sana. Jifunze kwanza neno interchange ina maana gani kisha uje tudebate
 
Aawapi Mention them!
 
Kwahiyo unataka kusema hii interchange ipo Nairobi?

 
Mlivyo na akili mbovu mtasema hii nayo ni interchange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]View attachment 1736213

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona isiwe interchange? Wewe unaelewa neno interchange ina maana gani? Unajua nashangaa education system yenu huwa mnaenda kufunzwa nini shuleni? Interchange ni any grade separation. Yaani kuna gari zinazopita chini zinazoenda upande mmoja na kuna zinazopita juu zinazoenda upande mwingine bila kukutana wala kusimama ili kupisha gari zingine zipite.
Yaani opposite ya interchnage ni junction. Kwenye junction, magari yanayokwenda upande mmoja yakifika kwenye junction lazima yasimame na kungojea magari yanayotokea upande mwingine kupita. Traffic lights hutumika sana kwenye junctions kucontrol upande gani wa magari unasonga na upande gani unasimama. Lakini kwenye interchange, kwa sababu magari yanayokwenda njia tofauti hayakutani kwenye junction basi hakuna haja ya kuweka traffic lights. Interchange nyingi hazina traffic lights kwa sababu kuna grade separation na kuna magari yanayopita juu na yanayopita chini. Ila pia kuna certain types of interchanges ambazo hazina grade separation, yaaani hakuna magari yanayopita juu na chini, kwa mfano clover-leaf interchange ambapo magari zote zipo katika ground level, lakini bado ni interchange kwa sababu hakuna gari inayosimama kwenye junction ikingojea zingine zipite. Yaani tofauti kubwa kati ya junction (intersection) na interchange ni kuwa kwenye interchange hakuna gari yoyote inayosimama ikingoja magari mengine yapite na interchange nyingi hazina traffic lights wala traffic police wala jam.
 
Of course hio ni interchange. Sasa unapingana nini wewe? Kuna aina nyingi za interchange na sio lazima zote zifanane na ubungo, sawa? Hamna kitu cha kucheka hapo.
 
Hebu list hizo interchange 10!
Mimi nikisema kitu namaanisha na wala sibahatishi. Kwani unadhani nakudanganya ninaposema kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi? Mimi sina muda wa kukudanganya ilhali nikikupa ukweli ndio itakuuma zaidi, so wacha nikupe ukweli. Sasa nataka nikupe evidence uliyoitisha complete with pictures ndio ushikwe na wivu kabisa, ukitaka ujinyonge kabisa au umeze wembe.


Mlolongo 0+000



Mlolongo 2+500




SGR Terminus 6+200



JKIA 8+000




JKIA Render




Eastern bypass 10+000



Eastern Bypass Render


Enterprise Road 12+000


Southern Bypass 15+500


Southern Bypass render


Capital Center 17+000



Museum Hill 22+000



Museum Hill render






Westlands 24+000




James Gichuru 26+700


James Gichuru Render







Geza Ulole hesabu hizo interchanges uniambie kama zimefika kumi au la.
The best 007 njoo hapa ujifunze maana ya neno interchange. Nairobi expressway ina interchanges kumi. Yaani mradi mmoja pekee una interchanges kumi na bado mnataka battle ya interchange? Leteni battle kuhusu jambo lingine lakini sio interchange. Hapa tumewagonga.
 
Wacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari? Yaani hata highway exit and entrances unaita interchanges?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…