Hujui kuhesabu?Wacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari?
Halafu kuna picha zingine zilikataa kuload so nimezitoa na kuziload tena. Refresh simu au computer yako kisha urudi kuhesabu tena.Wacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari? Yaani hata highway exit and entrances unaita interchanges?
Kwn mm nmebisha kwamba clover leaf is not an interchange? Hapana sijabisha ila nasema clover leaf zenu ni za ubabaishaji yn chafu mno.Usijifanye mjuaji wakati mambo haya nyie Watanzia hamuyaelewi. Mumeanza kujenga interchanges juzi.
Tazama picha za clover-leaf interchange nilizopata mitandaoni. Yaani wacha nikutoe ushamba leo. Halafu clover-leaf interchange inajengwa kila mahali hata nchi za ulaya.
Render inakaa hivi
View attachment 1736218
Picha kwa ground inakaa hivi
View attachment 1736219
Hii hapa chini ni clover-leaf interchange ya Germany
View attachment 1736220
Kwa hivyo kama unadhani kuwa interchange zote zinafanana na ubungo interchange then umekosea sana. Jifunze kwanza neno interchange ina maana gani kisha uje tudebate
Halafu hizi render zimechorwa na professional engineers. usijifanye mwerevu kushinda engineers wa kichina waliochora hizi renderWacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari? Yaani hata highway exit and entrances unaita interchanges?
Kwani unadhani mimi ndio ninaziita interchange? Kwani mimi ndio nimezichora? Kwani mimi ni engineer?Wacha upumbavu hazijafika 10 halafu mbona unaleta renders kwa vilivyojengwa tayari? Yaani hata highway exit and entrances unaita interchanges?
Ss c bado hazijakamilika ya nn unaweka humu kitu ambacho hakijakamilika?Kwani unadhani mimi ndio ninaziita interchange? Kwani mimi ndio nimezichora? Kwani mimi ni engineer?
Kama una maswali nenda kaulize CRBC (China Road and Bridge corporation) ni kampuni ya kichina wana engineers wa kutosha na wanaweza kukujibu maswali yako ya kipuuzi.
Leta evidence wapi CRBC (China Road and Bridge corporation) wameita exits n entrance interchanges?Kwani unadhani mimi ndio ninaziita interchange? Kwani mimi ndio nimezichora? Kwani mimi ni engineer?
Kama una maswali nenda kaulize CRBC (China Road and Bridge corporation) ni kampuni ya kichina wana engineers wa kutosha na wanaweza kukujibu maswali yako ya kipuuzi.
Hebu list interchanges (built and U/C) za Nairobi na mie nikutajie idadi ya zilizojengwa na zinazojengwa tuone! Nina uhakika Dar is ahead of Nairobi at the moment 3 constructed, 3 U/C in BRT phase II n at least 4 in Kimara-Kibaha Highway while BRT phase III has just started and around 5 interchanges r to be constructed!
Mind u Dodoma ringroad 110 km will have not less than than 4 interchanges!
Then Arusha bypass is to have another interchange
Then JPM Bridge in Mwanza is to have one interchange!
Mimi nikisema kitu namaanisha na wala sibahatishi. Kwani unadhani nakudanganya ninaposema kwamba Nairobi expressway ina interchanges kumi? Mimi sina muda wa kukudanganya ilhali nikikupa ukweli ndio itakuuma zaidi, so wacha nikupe ukweli. Sasa nataka nikupe evidence uliyoitisha complete with pictures ndio ushikwe na wivu kabisa, ukitaka ujinyonge kabisa au umeze wembe.
Mlolongo 0+000
Mlolongo 2+500
SGR Terminus 6+200
JKIA 8+000
JKIA Render
Eastern bypass 10+000
Eastern Bypass Render
Enterprise Road 12+000
Southern Bypass 15+500
Southern Bypass render
Capital Center 17+000
View attachment 1736242
Museum Hill 22+000
View attachment 1736243
Museum Hill render
View attachment 1736244
Westlands 24+000
View attachment 1736245
James Gichuru 26+700
View attachment 1736246
James Gichuru Render
View attachment 1736247
Geza Ulole hesabu hizo interchanges uniambie kama zimefika kumi au la.
The best 007 njoo hapa ujifunze maana ya neno interchange. Nairobi expressway ina interchanges kumi. Yaani mradi mmoja pekee una interchanges kumi na bado mnataka battle ya interchange? Leteni battle kuhusu jambo lingine lakini sio interchange. Hapa tumewagonga.
Kumbe hujui kusoma render? Wacha kesho ifike ndio tuendelee na mjadala.Leta evidence wapi CRBC (China Road and Bridge corporation) wameita exits n entrance interchanges?
Do you know what an interchange is? Usijifanye mjuaji na mmepata your first interchange 2 years ago.Tatizo la Wakenya madaraja huwa mnaita interchange, hebu weka picha ya hizo interchanges tucheke hapa, hiyo Nairobi yenyewe interchange yake inachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi tayari ina more than 10 interchanges that are complete. Yaani hata naomba NairobiWalker aniambie Nairobi ina interchanges ngapi ambazo zipo complete maana idadi yenyewe ni kubwa. Nairobi expressway pekee itakuwa na interchanges kumi. Sasa sijui unaringa nini.
This is my favorite cloverleaf in NairobiJust so that we're clear....this is what we have in nairobi. Feel free to show us any cloverleaf interchange you got in tanzania
View attachment 1736285
Just so that we're clear....this is what we have in nairobi. Feel free to show us any cloverleaf interchange you got in tanzania
View attachment 1736285
Haina shida hata mkianza ila uzuri ni kwamba sisi kazi yetu ni kuwafundisha nyinyi about modernity, hata China na Japan ilikuwa hivyo hivyo, but kazi ya China ilikuwa kumfundisha Japan habari za infrastructures za kisasa na ndicho tunachowafanyia ninyi kwa ss.Do you know what an interchange is? Usijifanye mjuaji na mmepata your first interchange 2 years ago.
Sisi tukijenga infrastructure yoyote inakuwa yenye kuvutia ambayo mara nyingi tukimaliza huwa mnaipigia kelele serikali yenu kwamba iliwaibia na ndicho tunachokifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just so that we're clear....this is what we have in nairobi. Feel free to show us any cloverleaf interchange you got in tanzania
View attachment 1736285
Mnatufundishaje kitu hamna? Modernity gani wakati mmejenga interchange ya kwanza 2 years ago wakati sisi tumejenga ya kwanza in the 1970s tushaibomoa tunareplace na ingine mpya? Kweli mna vichwa mbaya.Haina shida hata mkianza ila uzuri ni kwamba sisi kazi yetu ni kuwafundisha nyinyi about modernity, hata China na Japan ilikuwa hivyo hivyo, but kazi ya China ilikuwa kumfundisha Japan habari za infrastructures za kisasa na ndicho tunachowafanyia ninyi kwa ss.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha haya maneno tulishajua jinsi ya ku deal na nyinyi, nendeni mkawaongopee Waganda but sisi tunawajua nje ndani, nina picha za vi flyovers vyenu uchafu ambavyo huwa mnaviita interchange, weka picha niwa expose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Here is the list of complete interchanges in Nairobi
1. JKIA/Mombasa road interchange
2. Southern Bypass/Mombasa Road interchange
3. Southern Bypass/Langata Road interchange
4. Southern Bypass/Ngong Road Interchange
5. Langata Road/Magadi Road interchange
6. Chriomo Road/Wangari Maathai Road interchange
7. Red Hill Link Road/Grevillea Grove interchange
8. Red Hill link Road/Kyuna Road interchange
9. Red Hill Link Road/Spring Valley Road interchange
10. Red Hill Link Road/Kitusuru Road interchange
11. Red Hill Link Road/Peponi Road interchange
12. Globe Cinema interchange
13. Wangari Maathai Road/Kipande Road interchange
14. Thika Road/Limuru Road interchange
15. Pangani interchange
16. Muthaiga Road/Thika Road interchange
17. Thika Road/Outer Ring Road interchange
18. Thika Road/Gadern Estate Road interchange
19. Thika Road/Kamiti Road interchange
20. Thika Road/Eastern Bypass interchange
21. Githurai interchange
22. Eastern bypass/Kangundo Road interchange
23. Airport North Road/Outering Road interchange
24. Caltex interchange (Outering Road)
25. Outering Road/Jogoo Road interchange
26. Jogoo Road/Outering Road interchange
27. Outering Road/Kangundo Road interchange
28. Outering Road/Juja Road interchange
29. Mombasa Road/Namanga Road interchange
30. Enterprise Road/Likoni Road interchange
31. Southern Bypass/Dagoretti Road interchange
32. Mombasa Road/Airport North Road interchange
Na bado sijaongeza zenye ziko under construction. Alafu mtu anakuambia anataka Dar ya interchange tatu ishindane na Nairobi. Dar labda ing'ang'ane na Kisumu ama Eldoret when it comes to interchanges. Sii Nairobi.
Sina huo mda. Ebu Google online utazipata. Ama niulize moja yazo yenye unadhani haipo nikupostie picha. Naona umetetemeka sana. Unaita viflyover wakati huko kwenu havipo. Alafu pia utupostie vyenu viwili tuvichambue. 🤣 🤣 🤣Weka picha haya maneno tulishajua jinsi ya ku deal na nyinyi, nendeni mkawaongopee Waganda but sisi tunawajua nje ndani, nina picha za vi flyovers vyenu uchafu ambavyo huwa mnaviita interchange, weka picha niwa expose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona huu uchafu mnaoita interchange, nyie watu ni wachafu mnoo, alafu zingine ni overpass lkn kwenu zime qualify kuitwa interchange, mnachekesha sn nyie watu, jengeni wacheni upumbavu, cc tumeamua kujenga na ndiyo maana tunawatesa sn mana tunaendana na kasi ya dunia inavyotaka na sio kujenga uchafu kuwaongopea wananchi kwa vitu low quality km hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]This is my favorite cloverleaf in Nairobi
View attachment 1736366
Ona huu uchafu mnaoita interchange, nyie watu ni wachafu mnoo, alafu zingine ni overpass lkn kwenu zime qualify kuitwa interchange, mnachekesha sn nyie watu, jengeni wacheni upumbavu, cc tumeamua kujenga na ndiyo maana tunawatesa sn mana tunaendana na kasi ya dunia inavyotaka na sio kujenga uchafu kuwaongopea wananchi kwa vitu low quality km hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1736394View attachment 1736395View attachment 1736397View attachment 1736398View attachment 1736400View attachment 1736403View attachment 1736404View attachment 1736405
Sent using Jamii Forums mobile app