Until you officially start commercial operation, you are still in that phase!We are no longer in this phase. Hapa tulishapita kitambo sana.
JPM never laid down his plans so that would be unpredictable. No civil servant would agree to resign on the promise of being reskilled for private sector if they think the president can wake up on the wrong side of the bed and make a new decree that throws them under the bus.A serious president like jpm 🤔
Si mshawahi kuleta taarifa mkisema mko sijui 95% complete, Sasa naona mko 90% tena?
It depends on when was that MoF brochure released, as far as i know testing and commission alone is around 6%! i wonder where did u get that 95%? ulinyorofoa huko nyuma ama?Si mshawahi kuleta taarifa mkisema mko sijui 95% complete, Sasa naona mko 90% tena?
Until you officially start commercial operation, you are still in that phase!
Deadline ya huu mradi ulikuwa November 2019. Almost 2 years later mradi bado haujakamilika. Halafu walikuwa wanacheka SGR yetu yenye ilikamilika on time na saa hii inafanya kazi.Si mshawahi kuleta taarifa mkisema mko sijui 95% complete, Sasa naona mko 90% tena?
You must be confusing me with someone else, I have never said such words.Last time u said, tag me, if we construct just a mm of sgr. But now we have hundreds of kilometers.
We umesahau kwani? , SGR yetu ilimalizwa 6months ahead of schedule mpaka KEnHA ikajipata imezubaa kujenga Barbara ku connect stesheni za abiria manake walikua wanatarajia waanze kujenga September 2017 ili after 3 months wawe wamemaliza na SGR ifanyiwe launch December, badala yake ulipofika May, CRBC wakatangaza kwamba in 30 days i.e by June 2017 watakua wamemaliza ujenzi ready for launch.Deadline ya huu mradi ulikuwa November 2019. Almost 2 years later mradi bado haujakamilika. Halafu walikuwa wanacheka SGR yetu yenye ilikamilika on time na saa hii inafanya kazi.
Zero planning
Still huwezi linganisha quality ya nyumba za SGR Tanzania na za slums Kunyaland! Woyeee bado Mazee mna nyumba za tope! Some real sharky places. ..Zero planning
Watu wanajenga ovyo ovyo kama watoto wa class 4 drop outs,bure sana.
Hao ni watu wenye kipato cha chini kabisa ila huwezi fananisha na pale kibera kwenu hata mahali pa kunya ni shida mnakunya kwny mifuko ya plastic na kutupa hovyo tu baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic sijui siku hizi kifungashio cha mavi yenu ni nini by the way nia yangu si kujibishana na we kereng'ende nia yangu ni kushare updates za SGR yetu full stop na si na Wakunya ila na Watanzania wenzangu wazalendo.Umekula kwanza?!Zero planning
Watu wanajenga ovyo ovyo kama watoto wa class 4 drop outs,bure sana.
Kama unataka kushare updates na Watanzania basi mbona unakuja hapa Kenya section. Si ungeenda huko Tanzania section kuna threads nyingi ambazo zimejaa Watanzania. Umekuja huku kwa sababu unajua huku kuna Wakenya wengi. Pia unajua fika kwamba ukienda kule utapigwa vita na watu wa Chadema.Hao ni watu wenye kipato cha chini kabisa ila huwezi fananisha na pale kibera kwenu hata mahali pa kunya ni shida mnakunya kwny mifuko ya plastic na kutupa hovyo tu baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic sijui siku hizi kifungashio cha mavi yenu ni nini by the way nia yangu si kujibishana na we kereng'ende nia yangu ni kushare updates za SGR yetu full stop na si na Wakunya ila na Watanzania wenzangu wazalendo.Umekula kwanza?!
TupooSGR Tanzania mpoooo
Gongo la mboto lIlikuwa lizinduliwe August sasa imesongezwa hadi November?Kenya SGR hoyeeView attachment 1791546
Watch drone videos za sgr from syokimau to Suswa station uone kama kuna takataka kama izo,Still huwezi linganisha quality ya nyumba za SGR Tanzania na za slums Kunyaland! Woyeee bado Mazee mna nyumba za tope! Some real sharky places. ..