Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sasa kama anambishia MD wa TRC Masanja Kadogosa sisi tutamsaidiaje? Video ya maelezo ya capacity ya SGR Tanzania ipo humu amesema from 17 mln will be minimum load and 25 will be maximum load!
Sasa mbn wanajifanya matahira wakati ulishawaelekeza humu.

Dudes, Kenya ni 22m minimum, do you want to know what the maximum is 🤣🤣
 
Our SGR stations can be compared with the best railway stations in the world. That's the meaning of world class, za kwenu zinalinganishwa na vyoo vya machakos county.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]none sense
 
Asa sinipumba umeandika au ulihitaji award?
Everything nimeandika ni ukweli. Shida ya watanzania ni kuwa hawapendi ukweli, I thought you were an exception but it seems you are all the same.
 
Everything nimeandika ni ukweli. Shida ya watanzania ni kuwa hawapendi ukweli, I thought you were an exception but it seems you are all the same.
Hapana mimi sio mjinga Wa kulishwa maneno...
Huwezi sema Pugu station ni choo alafu nikakaa hapa kukusupport that is an insult to Us but as usual ukiambiwa umekosea unaanza kutafuta namna ya kuhepa kwa kurudisha lawama ...
Wewe nilishakugundua kitambo hunisumbui
 
But kwa kusema tu ukweli wapi tofauti Kati ya pugu station na machakos or kisumu county toilets?😂😂
 
Our SGR stations can be compared with the best railway stations in the world. That's the meaning of world class, za kwenu zinalinganishwa na vyoo vya machakos county.
which stations? each of ours is having both passengers and cargo terminals!
 
The same way 17M is your maximum.
wacha kuwa choko usifikirie kichokochoko umepewa clips zikiwa na maelezo kwa msimamizi mkuu wa mradi! Ila bado unabisha ingeleta maana kama ungeleta clip kuonyesha unachosema na si kubishabisha kiufalamanga kisa roho inakuuma electrical SGR Tanzania is way superior kuliko SGR Kunyaland yet half the cost!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…