Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwamba hakuna pakujeuzia au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa[emoji1787][emoji1787]
We unafikiria ukiambiwa swala la treni kujeuza basi eti linapiga turn km roundabout..
We kweli mshamba aisee
 
Uyo ndo alivyo huyo huwa anakurupuka tu ukimkamata anazuga, sasa eti anazuga kwamba kuna msamiati unaitwa "kujeuza" kwamba hyo kujeuzia alimaanisha parking, wallahi nimecheka kdg nianguke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unateseka ukiwa wapi[emoji1787][emoji1787]
Kw akili zako treni za kenya zinajeuza km vile gari sio..
Maskini, km kiswahili kwako tabu sema
 
Kabisa[emoji1787][emoji1787]
We unafikiria ukiambiwa swala la treni kujeuza basi eti linapiga turn km roundabout..
We kweli mshamba aisee
Haya hebu nioneshe EMU inayojeuza nitoe ushamba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unateseka ukiwa wapi[emoji1787][emoji1787]
Kw akili zako treni za kenya zinajeuza km vile gari sio..
Maskini, km kiswahili kwako tabu sema
Leo hutoki nakwambia natembea na wewe ng'adu ng'adu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The best 007 niletee maana ya kujeuzia kutoka kwa kamusi km wewe unajua unajua kiswahili kweli[emoji1787][emoji1787]
Jamaa wana force tuongee km wao..
Ile siku utapata neno hilo ni kisawe linamaana sawa na "geuka" nakulipa
 
Haya hebu nioneshe EMU inayojeuza nitoe ushamba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha EMU hta steam train hazina sehemu ya kujeuza...
Jamaa leo neno "kujeuzia" linawapiga chenga[emoji1787][emoji1787]
 
The best 007 niletee maana ya kujeuzia kutoka kwa kamusi km wewe unajua unajua kiswahili kweli[emoji1787][emoji1787]
Jamaa wana force tuongee km wao..
Ile siku utapata neno hilo ni kisawe linamaana sawa na "geuka" nakulipa
Ile siku utapata EMU inajeuza njoo tuongee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo hapo ndio patatumika ku control flow ya treni zenu sio[emoji1787][emoji1787]
Treni zetu control inaanzia Pugu station hapo mjini inakuja ya passengers tuu na line nyingine ina branch kwenda port zinakutana ilala goodshed area ambapo kutakuwa na parking ya passengers trains.
 
Naona leo umekasirika sana kw kuwaonyesha watu km nyie hapo dar station mumejengewa kituko
Hizo ndio modern station layout kwa electrical SGR ambayo ni eco friendly wewe baki na chinese experience yako ambayo haina tofauti sana 3rd world technology
 
Hizo ndio modern station layout kwa electrical SGR ambayo ni eco friendly wewe baki na chinese experience yako ambayo haina tofauti sana 3rd world technology
Stations zenu ni mbovu. Kubali tu yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…