Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kwahiyo wewe una akili kuliko TRC.
Kama ingekua TRC inafanya kazi vizuri kwa kuhitimisha matakwa yote ya wanabiashara ingekua ndo most profitable company in government. Lakini TRC is a loss making company kwahivyo they don't always do what is the best for the company and for the businessman. Thats why from time to time you will see companies holding conferences to engage with actual businessmen inorder to reorganize and do what is best for the stakeholders who will actually use the project.. Mambo ya kuamini kwamba TRC ni miungu midogo ambayo hawaezi kosa uzembe wa kufikiria.
 
First begin by showing cargo terminal for each of your SGR stations, not just one but all!
In Athi River, There is a 7km rail that branches from SGR main track that goes to Grain Bulk Terminal. Such Terminals exist or are U/C for all kinds of bulk goods depending on where the company is located.



Kwahivyo hata wewe mwenyewe, Ukiwa una kampuni inayohitaji kubeba mizigo kila mara, mahali popote kwa route ya SGR Kenya (Not just kwenye stations), all you need to do is apply to have the railway extended right to your door step.




Maai Mahiu Station - Angalia hapo on the left corner of the station, huko nyuma kuna jengo la gorofa




Jengo hilo la gorofa hilo hapo kwa mshale mwekundu, Anyway, Unaona hio SGR ina branch off kuingia kwenye yard ambapo mizigo inaweza kushukishwa.



Alafu usisahau Kenya kuna kitu kinaitwa Passing Stations, Kati ya Nairobi-Mombasa pekee kuna 26 passing stations! Hizo passing station zina kazi yake, lakini mbali na hivyo, zilitumika kupakia kokoto kwa reli za SGR wakati wa ujenzi, malori yalikua yanakuja na kokoto na zinapakiwa kwa SGR, Kwahivyo all passing station zinaweza kupokea mizigo ya kontena...

Passing stations









Sasa wewe nionyeshe ni wapi SGR yenu inaingia hadi bandarini kabisa mpaka ndani ya warehouse!






.



 


Aawapi hii si cargo terminal! Hii ni ofisi!




MY TAKE
SGR Mombasa-Nairobi ina stations 13! leta cargo terminals for each of the stations! kingine ujenzi wa Dar port branch umeanza! Out of 300 km for Dar-Morogoro SGR 95 km r bypass track!

Siongei uwongo mie!

Pitia hii video utaona hizo cargo terminals!
 
Aawapi hii si cargo terminal!




MY TAKE
SGR Mombasa-Nairobi ina stations 13! leta cargo terminals for each of the stations! kingine ujenzi wa Dar port branch umeanza!

Siongei uwongo mie!
These are offices at passing stations . Infront of them is a concrete yard that can be accessed by forklift that can load or unload a container . Ata Kuna jamaa najua anakaa mwatate (near Voi) contena zake zilishukishwa Voi na akatuma trela zije nimpelekee mizigo yake.... Miji midogo midogo haipokei mizigo mingi kiasi Cha kuhitaji dedicated freight terminals.
 
That is an office AND NOT "ofices"! BTW I asked of cargo terminal usually ina at least two railway tracks aside 3 for the main line at the station and has platforms and rumps and container crane be it gantry or container handler!
 
That is an office AND NOT "ofices"! BTW I asked of cargo terminal usually ina at least two railway tracks aside 3 for the main line at the station and has platforms and rumps and container crane be it gantry or container handler!
That building is bigger than most Tanzanian stations, so yes, it's multiple offices.
And as you saw in the previous pics, there are 3 lines at the passing station. This is not a passenger station so it does not need a platform that is on level with the train!. And when you complete yours, you can show me of yours will have gantry cranes on every station, usiongelee vitu haujui.
 
Waombeeni Ethiopia, kule kaskazini wako na vita vya Tigray Sasa mashariki waEthiopia wenye asili ya kisomali wanasema wamechoka kudhulumiwa baada ya wanamgambo wanaotumika na serekali ya Ethiopia kupigana vita vya kigaidi kuua Kijiji kizima Cha wasomali eneo la garba-isse, wasomali hao wameshambulia SGR inayopita eneo hilo kuelekea Djibouti...





 
Unachekelea Ethiopia subiri yenyu yaja 2022 lazma Kalenjins na Ruto's hustler nation walianzishe!
 
Unachekelea Ethiopia subiri yenyu yaja 2022 lazma Kalenjins na Ruto's hustler nation walianzishe!
Mimi sina ujinga huo wa kucheka shida za wengine.... Sisi si kama nyinyi ambao kazi yenu ni kupiga Dua Kenya ipatwe na janga ndo muweze kuishinda, sisi hua tunapenda tuwashinde wakati mko wazima wa afya hakuna shida yoyote lakini licha ya kutia bidii yote bado tunawashinda... Yani we want to beat you when you have the best team not when you have injuries ..
Ethiopia walitupiku kiuchumi in 2018, mwisho wa 2019 tukawa tumerudi on top, (classic Kenya), sahii gap imefika $2B ... Mi nawaombea nchi yao irudi sawa tupige biashara, Hawa jamaa tukifunguliana soko zetu, sote tutafaidika sana manake Kuna vitu wako navyo ambavyo hatuna na wao pia wanahitaji vyengine ambavyo tuko navyo alafu vile wako wengi tutauza hadi tuchoke!
 
Sasa mbona upo humu ku-post man made destruction inahusiana nini na electrical SGR Tanzania? Fool mko even in a more danger than Ethiopia hapo 2022!
 

Dooh kaz kweli kweli hawa watigray wqtaporomosha uchumi wa Ethiopia
 
Sasa mbona upo humu ku-post man made destruction inahusiana nini na electrical SGR Tanzania? Fool mko even in a more danger than Ethiopia hapo 2022!
Na post humu kwasababu inahusiana na SGR, sio kwasababu Nina roho chafu kama wewe... Ingekua ni wewe najua lengo lako ingekua ni ucheke na kujiona you are better than them. You are not
 
Hii haina uhusiano ya vile vita vya tigray, Hawa ni wasomali walioko karibu na mpaka wa Djibouti
Na nyie muwaache Wasomali wa Wajir na Mandera wajiunge na Wasomali wenzao. Ukoloni mnaowafanyia una mwisho wake.
 
Wajinga na kodi zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…