Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hivi vioo wangeeka opeque tinted glass mpaka iwe ukiangalia kutoka nje hauoni ndani. Hio shape ya Tanzanite ingetokea vizuri zaidi manake opaque glass inatoa reflection vizuri, ingekua ukiangalia unaona reflection ya ku metameta kwa jua au mawingu


 
vip reflection kuaffect watu wa ofisin wa jiran na hilo jengo..
Haita affect majirani manake karibia kila kioo kimewekwa angle tofauti kwahivyo hakutakua na reflection ambayo iko concentrated mahali pamoja
 
mara haitaaffect mara vioo viko angle tofauti! acha ujuaji.. hata kama viko angle tofauti kuna vioo reflections zake zitagusa watu walioko juu ghorofa na wengine maeneo ya level ya kati. bora wameweka hivyo walivyoweka sio vile ulivyotaka
Hio ni sababu ya kitoto

Mbona watu hawalalamiki na hili jengo



Hata kule Nairobi mbona sijaskia watu wakilalamika na jengo kama la "One Africa" ambalo liko na vioo opaque ambavyo vinaangalia angle tofauti.















Kwa wakati wowote ule, utapata reflection ndogo sana kulingana na ile angle uliosimama manake vioo tofauti vinaangalia angle tofauti, hakuna mahali utapata vioo vyote vina reflect mahala pamoja, kwahivyo hakuna sehemu ambayo utapata mtu analalamika eti reflection ni kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…