Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania



Kinachofanyika hapo ni geological phenomenon! It has nothing to do with the quality of works......... Mombasa Island has been experiencing that kind of phenomenon for a while now, Kuna sehemu zengine ukichimba unapata maji after only 3 meters!




The experts said the move will counter the biting effects of global warming and climate change.
 
double decker mlizokuwa mnapigia kelele zi wapi?
Mr. Wivu, you have posted tens of videos and pictures of SGR TZ, hakuna hata moja iliingiliwa na mkenya. And don't think kuna vitu ambavyo sikuona ambavyo naweza kuingilia, I was just not that insecure or desperate kukosoa kila kitu kila wakati, sometime you just let it slide.... Lakini mkenya akipost lazima utafute baya la kusema, how insecure are you about yourself Mr.Geza???


And you your satisfaction, Hii hapa Double stacked

 
Utaacha lini kubebwa ufala na excuses za kijinga toka government officials? Kwani hizo project "zenyu" mnazotamba nazo humu ndani hazina preliminary soil analysis? Au unafikiria humu ndani ni Wapumbavu wenzio kutoona shoddy work probably a government official has chopped the money meant for soil analysis!
 
This is a phenomenon ambayo imekua ikiendelea, it's only recently that it has started to get worse, hata ukafanya soil analysis au geological study, you cannot predict where it's going to happen next. Hii one force projects za Mombasa sasa ziwe zinajengwa ni kama kwamba uko ndani ya tunnel vile, Yani unaweza layer ya special concrete kuzulia maji yasipite alafu juu yake ndo unajenga lami.

Na kama unashtuliwa na hilo la Msa basi utakufa kwa ile phenomenon inayofanyika Suswa kule Narok ambayo ni much worse. Ardhi hupasuka na kumeza nyumba nzima!


Cheki hapo Madaraja ya SGR huko kando kando na hapo katikati ardhi inavyopasuka... Yani ata sijui inakuaje Kenya imeshikilia uongozi wa ukanda huu kiuchumi kwa mda wote huu licha ya kua na majanga ya kila aina!




Bara bara nazo







 
soil analysis can avoid putting up weak structures as that crack is a process! U r not an engineer so save ur ignorance! kwani ni nyie tu ndo mnajenga dunia hii?
 
This is ignorance.product of weak education system.
 
we jamaa some time huwa unakuwa na akili za panya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…