unaumwa wewe! sisi hamuwezi kutupangia.mmeacha kujazwa ufalamanga wa doube decker sio?
wakasahau kuwa sgr yao ni chinese gari moshi 1st class 1780'sUsimshangae Mkulungwa huyu kumbuka waliambiwa SGR yao ni chinese first class! Wakaamini!
wanabebwa na ufalamanga mingii sana saahii wanadai shoddy structure Port Ritz Highway ati effects of climate change! those shoddy structures hazijakumbwa hata na natural calamity kama earth quake kusababisha land slides zinadidimia na kuporomoka zenyeweeee kama yale majengo yao ya uyoga in the whole of Nairobi! Mind u that highway was to sustain heavy load to and fro Mombasa port!wakasahau kuwa sgr yao ni chinese gari moshi 1st class 1780's
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] majamaa ni catoon siku zotewanabebwa na ufalamanga mingii sana saahii wanadai shoddy structure Port Ritz Highway ati effects of climate change! those shoddy structures hazijakumbwa hata na natural calamity kama earth quake kusababisha land slides zinadidimia na kuporomoka zenyeweeee kama yale majengo yao ya uyoga in the whole of Nairobi!
Kama Hauna la kuchangia funga bakuli na urudi kijiweni kule ambako we ndo unatambulikawe jamaa some time huwa unakuwa na akili za panya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watanzania wale ambao hulipa walimu wa Kenya in dollars waje wafundushe kwa mashule yao , Calling a Kenyan weak education systemThis is ignorance.product of weak education system.
soil analysis can avoid putting up weak structures as that crack is a process! U r not an engineer so save ur ignorance! kwani ni nyie tu ndo mnajenga dunia hii?
Walimu wa English.Watanzania wale ambao hulipa walimu wa Kenya in dollars waje wafundushe kwa mashule yao , Calling a Kenyan weak education system
umeongea matope na hicho nilichokitamka ndiyo mchango wenyewe huo kulingana na pumba yako,,Kama Hauna la kuchangia funga bakuli na urudi kijiweni kule ambako we ndo unatambulika
kwanza jiulize kuwa ni somo gani huwa mlikuwa mnaajiri kwaajili ya kufundisha.!!Watanzania wale ambao hulipa walimu wa Kenya in dollars waje wafundushe kwa mashule yao , Calling a Kenyan weak education system
tena kwa sasa huo utaratibu haupo ,wanaofundisha ni wa hapa hapaWalimu wa English.
Ehee Sasa nionyeshe wapi ipo hio container yard
Mbona mchina anawapangia tena kwa jeuri anasema hawezi kabidhi uendeshaji wa sgr kwa serikali mpaka alipwe deni lake huku sio kupangiwa?unaumwa wewe! sisi hamuwezi kutupangia.
Walimu wa English.
kwanza jiulize kuwa ni somo gani huwa mlikuwa mnaajiri kwaajili ya kufundisha.!!
na isitoshe huo upuuzi wa kuajiri mkenya aje kufundisha english kwa sasa haupo,maisha yashabadilika
Contract inasema walikua wata operate SGR kwa miaka kumi ndo watupatie [SGR loan inafaa kulipwa yote baada ya miaka 15] sisi sahii tumegeuza tunasema tunataka watupatie control yote ya SGR by 2022 (Yani miaka mitano baadae).... Wao wame counter hio proposal kwa kusema basi tuwalipe deni ndo watupatie sahii kinyume na contract ya awali.... Hii ni biashara na Kila mtu ana haki yake anaruhusiwa ku negotiate. Usijidai hapa na nyinyi mlipokonywa ndege kule Canada kwa kujifanya wajeuri hamtaki ku negotiate breach of contract which is protected by international law.Mbona mchina anawapangia tena kwa jeuri anasema hawezi kabidhi uendeshaji wa sgr kwa serikali mpaka alipwe deni lake huku sio kupangiwa?
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hivi unajua World bank ilisema madaktari wenu wako level sawa na manesi wa Kenya? Na sieongelea wale manesi (Registered Nurse) naongelea wale Nurse Assistant wa kusafisha vidonda ambao sisi washamba tumezoea kuwaita nurse
hivi kulipa deni ni kupangiwa?? ama unataka tusamehewe deni kama nyinyi hapo tanzagiza.......Mbona mchina anawapangia tena kwa jeuri anasema hawezi kabidhi uendeshaji wa sgr kwa serikali mpaka alipwe deni lake huku sio kupangiwa?