Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hata Raila akitenga budget bado ni kazi bure maana if status quo between UG and RW remains the same nothing will materialize as Rw will need UG cooperation to link up with Kenyan SGR
wanasiasa huwa maadui na marafiki ina matter of a moment! Nani alijua JPM angepindua meza ya COW?
 
mtu serious hutenga bajeti kwa ajili ya jambo flani! Hii kungoja AfDB sijui WB sijui IMF sujui Mchina haiaminiki huchukua hata miaka mitano kabla hujajibiwa!
Shida anayo Rwanda hawana Hela .na sisi soon tuna commit kwa Makutupora Isaka.which will drain much our USDs
 
Shida anayo Rwanda hawana Hela .na sisi soon tuna commit kwa Makutupora Isaka.which will drain much our USDs
we have no choice kuwa hub of business in the region inahitaji kujinyima na pia right timing mama asingoje mwaka uishe bila ya mkandarasi wa SGR Makutupora-Isaka kupatikana na kusainisha makubaliano nae! inatakiwa Rais mpya Kenya anapatikana August 2022 ujenzi ushaanza huku kwetu!
 
Jointed welded railway bro mm sipingi ni first class.Ndio maana TRC ktk kuboresha meter gauge sasa hv wanajenga jointed rail na wamejenga kutoka Morogoro mpk Singida my Father work in TRC na mpk kuona nilienda kuona.
Jointed railway iko poa.
Kuna mwenzako kasema eti jointed outdated
 
Jointed welded railway bro mm sipingi ni first class.Ndio maana TRC ktk kuboresha meter gauge sasa hv wanajenga jointed rail na wamejenga kutoka Morogoro mpk Singida my Father work in TRC na mpk kuona nilienda kuona.
Jointed railway iko poa.
ya Dar-Morogoro-Isaka MGR is called continous welded rail! wacha kuchanganya madesa nawe! jointed wanayoongelea hapa Wakenya ni ile haijaunganishwa kwa kuchomelewa na ni outdated!

ya Dar-Morogoro-Isaka MGR is called continous welded rail! wacha kuchanganya madesa nawe! jointed wanayoongelea hapa Wakenya ni ile haijaunganishwa kwa kuchomelewa na ni outdated!

We jamaa umenivunja mbavu.
Embu katizame aina za joint ktk railway ni zipi.
Na zinaunganshwa kwa kuchomelewa nn juu yake.
Hiyo continuos welded zilikuwepo toka 1970s utasema kuwa ni updated?
Reli yetu ya sasa imechomelewa juu ya joinys zake na fish plates.
Ingia reli tv kesha angalia.
 
Acha ujuaji wewe sgr tz ni cwr na mgr ni cwr mpaka isaka usijifanye unajua terminologies tunaondoa fish plates zote na kuwa na Cwr hata Britain wamefanya hivyo since 1969 so fish plates zimekuwa replaced by new tech cwr
 
ukiunga kwa kuchomelea vipande vya reli inakuwa continous welded na si jointed anymore! Kenya SGR haina continous welded rail be it MGR ama SGR!
 
Umesema babako yuko TRC sio? kamuulize tena kuhusu continous welded SGR/MGR na jointed SGR/MGR!
 
ya Dar-Morogoro-Isaka MGR is called continous welded rail! wacha kuchanganya madesa nawe! jointed wanayoongelea hapa Wakenya ni ile haijaunganishwa kwa kuchomelewa na ni outdated!

Outdated according to you sio[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…