Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

watu hawaoni sijui kwann tuna tabia ya kutaka kupindisha sheria tulizoweka sisi wenyewe?
Hamna sheria iliyopindishwa ni uamuzi tuu wa busara unaotakiwa maana single source procurement na competitive bidding zote ziko kisheria.
 
sheria zifuatwe wacha kuropoka kama Yapi hawataki kupiga sasa wanaogopa nn kushindana mpaka wa-lobby? TAKURURU inafanya nn kama inaogopewa upigaji kwenye mchakato? PPRA ndo ilisimamia mchakato na Yapi Merkezi walishinda fair lot2 kama walivyoshindwa fairly lot5! Usitake kupotosha nchi na taasisi huendeshwa kwa sheria na taratibu! Mimi ningekuwa Samia ningemuondoa Kadogosa for just kujaribu ku-influense mchakato kinyume na taratibu na sheria za manunuzi!
 
Hamna sheria iliyopindishwa ni uamuzi tuu wa busara unaotakiwa maana single source procurement na competitive bidding zote ziko kisheria.
hamna busara kwa kuvunja sheria! CAG Assad ndo aliyapinga haya akafukuzwa na serikali ya JPM!
 
Hamna sheria iliyopindishwa ni uamuzi tuu wa busara unaotakiwa maana single source procurement na competitive bidding zote ziko kisheria.
single procurement iko kisheria? hebu leta evidence with quotations kama CEO wa PPRA alivyoainisha! 👇

kuna shida kubwa kwenye hii ishu ya Lot 3&4 SGR
more papers





huyu kadogosa ajiangalie.. kama ana support ya mama atabaki, otherwise atafekwa






courtesy Simon
 
kwa taarifa yako source ya kilichoandikwa Jamhuri walipata humu JF kuna mtu ali-post confidential letters! Na walichofanya ni kuweka ushabiki na kujifanya wameongea na Masanja Kadogosa hapo mwisho! Ndo maana magazeti haya yanafungiwa kila siku!
Ile barua ilizo wekwa humu nilisoma, ila haimanishi uchukulie hizi allegation lightly, mama awe makini sn na hawa mbuz wakichin
Usizani wamefrai kupoteza pesa kwenye mradi wa rail y kunya....na inaeleza vizur kwa kususia mara tatu tenda
 

Geza na wewe unaongea utafikiri uko na inside info, cha muhimu tuombe maza awe mkali hatuepushe na wapigajii tuu
 
hii ni noma
 
single procurement iko kisheria? hebu leta evidence with quotations kama CEO wa PPRA alivyoainisha! 👇
Ukiweka bid open Wachina watashinda kwa kuwa wana bei ndogo. TRC wamejifunza kwa kinachoendelea Lot 5.
Halafu CCECC ni kampuni ya serikali ya China kwa hiyo hata wakizingua huwezi kuwafanya kitu.

Nimesikia kuwa serikali ya Uturuki imeahidi kutoa mkopo kwa lot 3&4.
Evaluation ya TRC kuhusu gharama ya mradi ni US$ 3.5m kwa km ila sijui Yapi Merkezi watajenga kwa kiasi gani.
 
Embu tuambie sheria gani ya manunuzi imevunjwa ili tujiridhishe
 
Cha muhimu nikupata mkandarasi mzuri atakayetujengea kitu bora na maza hapo ndio anafaa akazanie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…