Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Njia ya bandarin imeanza...kunakipind vizuu wa kaskazini walikuw wanabishia reli kwenda bandarin

tangu waone vichwa vipya toka Malaysia vya continuous welded diesel MGR wamekata tamaa! Sasa sijui itakuwaje order ya kwanza ya rolling stock za continuous welded electrical SGR itakapoingia hapo December?
 
Njia ya bandarin imeanza...kunakipind vizuu wa kaskazini walikuw wanabishia reli kwenda bandarin

Esigiara haifiki bandarini ata ulie. [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tangu waone vichwa vipya toka Malaysia vya continuous welded diesel MGR wamekata tamaa! Sasa sijui itakuwaje order ya kwanza ya rolling stock za continuous welded electrical SGR itakapoingia hapo December?
Saivi wameporeza ham na huu uzi kabisa MGR train imekuwa kifo chao
 
Yaani vichwa vya train ya MGR ndio mnakimbia battle kweli? Haya sasa ngoja tupate wadhamini kidogo huku tukisubiria battle iendelee.View attachment 1968886

Hii kitu ikitua hapa watu watatoka nchii mbalii mbalii hususan Kenya kuja kutalii hili kuupanda huo mzigoo alafu iyo njia ilivyokua na view nzurii sipati picha kudadeki
 
Ila reli ya Kenya imetukanwa humu balaa [emoji1787][emoji1787]

Huu uzi wa cost comparison umefukiwa na hii article [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kingine ni kwamba Magufuli alikuwa na akili nyingi sana yule mzee, tumsifu kwa hilo na tukishindwa basi cku moja mawe yatafanya hivyo kwa niaba yetu.

Chamwisho ni kwamba hao mafisadi wameshachelewa na mipango yao ilishaharibiwa na Magu, now Watz wako macho na hawataiba tena wanajisumbua tu.
 
tangu waone vichwa vipya toka Malaysia vya continuous welded diesel MGR wamekata tamaa! Sasa sijui itakuwaje order ya kwanza ya rolling stock za continuous welded electrical SGR itakapoingia hapo December?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂Mkuu, kwa article hii,humuoni mkunya hapa,wewe fikiria gari moshi vs electrified sgr,yaani mbingu na ardhi, upgrading kama watajiroga kuifanya wanajizika ksbisa. Mm ndio maana nililia Sana Magu alipotuacha😥

DEAD FROM CORONA
SAMIA WILL RULE TANZANIA HADI 2035
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…