Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Zile train mtumba walizonunua Kenya zinafanya Kazi kweli?
Huwa wanapost picha za uzinduzi tu baada ya mwezi mmoja kile kitu kinakuwa kimechoka hakifai hata kupigwa picha, jamaa co wastaarabu alafu pia ni wachafu sana.
 
Emu zetu znaingia lin mana si kwa kusubri namna hii
Order ya kwanza ambayo inaingia mwaka huu sio EMU bali ni dual engine electric na diesel propulsion kwenye kichwa kimoja hizi ziko 6 from Germany na coaches 59 from Korean company Sung shin rolling stock wale walioleta zile deluxe coaches 2015
 
Kenyan SGR ujenzi ulianza 2015, 2017 train zinatumika. Hapa ujenzi ulianza 2016, tumekua tukiambiwa mwakani tangu 2017.[emoji1787][emoji1787]
Na 2021 imebakisha mwezi mmoja [emoji23][emoji23] na bado. Hii ya danganyika itaisha 2025 ccm ikichagua Samia tena.
 
Remember our SGR is 1260km long aside of parallel rails ya kupishania unlike thomas and friends rail which is less than 400km
Kenya's complete SGR is 700km you idiot. How many of those 1260km have you completed and running?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…