Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Reli ya danganyika haitawahi pata 100% safety rating sababu ishapata ajali kabla ya kuzinduliwa [emoji23][emoji23]
 
Hivi karibuni mlianza kuambiwa 2019, bado mnaambiwa tu mambo ya hivi karibuni. If I may ask, zile trains zilifaa zifike November zilikuja? Ama November ya Tanzania bado haijafika?
Vipi na SGR nayo imechelewa au, nyie wakenya hamna akili hivi unadhani hapa utapita mtungi hapa [emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni mlianza kuambiwa 2019, bado mnaambiwa tu mambo ya hivi karibuni. If I may ask, zile trains zilifaa zifike November zilikuja? Ama November ya Tanzania bado haijafika?
Na nyie si mpaka leo mnajenga haijafika border ya Uganda tuu mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…